Home
Unlabelled
mafuta
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Wow
ReplyDeleteMichu jengo hilo lilikuwa linapinda as linapozidi kwenda juu
ReplyDeleteWabongo kwa maneno kipindi fulani lilisimama ujenzi basi oh mara limejengwa ndivyo sivyo eti uinjinia haukutumika hapa itabidi livunjwe.
ReplyDeleteDuu leo limekwisha angalau Dar nayo ionekane.
Tunataka Flyovers walizopendekeza UCLAS,Taifa liwatumie hawa watalaamu jamani msongomano wa magari used uishe Dar.
Nilipta hapo jana.. Yaani pamekaa vizuri kweli na panavutia!!
ReplyDeleteJamani jengo hilo huko juu kuna maji? Vyoo tukienda uani tutaweza ku flashi? Umeme je? Lifti zitakuwepo, sio mambo ya ngazi eti lifti mbovu au hakuna umeme. Tuangalie mambo mengine kabla ya kuanza na haya majengo. Tunatakiwa tuanze kwenye mambo ya msingi (basic) kama Maji, Umeme na uongozi bora
ReplyDeleteNakubaliana na anony hapo juu, muda umefika wa kutumia ujuzi wa waliohitimu UCLAS, iwe fly-overs au mambo mengine. Ni aibu kubwa vijana wenzetu wanapokosa kupewa kipaumbele na matokeo yake "tenda" zinaenda kwa wageni na fedha nazo pia kupeperuka (no offense kwa wageni, wakaribishwe kama ilivyo jadi)!
ReplyDeleteJana nilikua nasikiliza TV kipindi cha mjadala kuhuku africa mashariki na kati kikatokea. Katika mjadala huo kuna mtu alisema kuna mdau amemaliza civil engeneer TZ na saa hivi ni chief of road construstion huko Bahamas.
ReplyDeleteKwa hiyo hao sijui UCLAS mnaotaka iwe fly overs kumbukeni katika ulimwengu huu wa utandawazi sky is your limit. Msingojee ajira nchini tu? Na always nabii haheshimiki nyumbani nenda nchi nyingine na apply kazi kila mahali. Kwenye internet sio msome udaku na Hi5 tu. Tafuteni kazi kila sehemu hao wanaokuja hapo nao wamesoma kwenye internet wakapata tenda bongo.
Mdau - USA
jengo limekula mabilioni ya shilingi lakini kilichotoka ni matofali tuu na jengo la kizamani sana...kweli uzembe na rushwa ni adui wa haki na wote tunasuffer kwa wajinga wachache
ReplyDeleteMichu. hilo jengo liko city center. hivi traffic mitigation study ilifanywa? na je, litakapofunguliwa, watumiaji wata-park wapi?
ReplyDeleteHili jengo ni la serikali au la mtu binafsi?Paking za magari iko vipi?Vitu vingine kama maji umeme nk viko vipi?
ReplyDeleteKuna underground parking
ReplyDeletesawa underground parking lakini umeme ni aje? Maji je yapo?
ReplyDelete