nimeikalia


kwa nyuma

kichwani

mabegani
wadau kunradhi. ni staili ipi inafaa hapo ili nijikinge na waosha vinywa dhidi ya maradhi sugu ya mikonozzz

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 28 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 15, 2007

    Mmmh!!!! kaka michuzi style zote ni bomba sasa ndo nini kuwakwepa hivyo?!! umeweka mikono kichwani kama umepata habari za msiba!! ila mmependeza sana na hiyo Suti yako kama mbawa za inzi umetoka bomba sana!!! huyo dada alievaa nyekundu nae yuko bomba mpe sifa zake, hujatuambia ni wapi hapo kaka.

    ReplyDelete
  2. style ya pili mzee ni ya kiudaku maaana ni taka sitaki, haiashilii dhamila halisi.Ya tatu mi naona bomba maana sio tu Mikonozz inayotoa taswira halisi bali assesment inafanyika kwa kwa body language nzima. Ila Michu hao watoto kwenye picha ya kwanza sio Mchezo wakali,hivi wameolewa au, na kama bado dondosha basi contact tujaribu bahati zetu

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 15, 2007

    Hahahaaa... WEKA MIKONO YAKO KWA MBELE HAPO KWENYE URITHI WAKO

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 15, 2007

    Mzee Michu,swali lako gumu kidogo kulijibu,maana issue hapo sio mikono umeiweka wapi bali umeiweka wapi kwa dhamila ipi, kama mikono ipo kichwani lakini dhamila na akili ziko kwenye flazi mzee utakua hujafanya kitu zaidi ya kuwapotosha watazamaji wa taswila husika. Kinachotakiwa ni kuwa honest tu for yourself, unaweza kuzungusha mikono kwenye kiuno cha kiumbe mithili ya luba lakini bado una good intention mzee.kwa mtizamo huo na nikisoma body language picha ya tatu inatoa uhalisia zaidi wa mambo kuliko hizo nyingine.Take care

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 15, 2007

    Kwa nini ujipe shida yote hiyo, kuwa huru kamata popote, dhamrira iko moyoni siyo maungoni. Staili uliyotumia ya kuwakumbatia hawa mabinti inaonesha kujali na upendo, kikubwa na moyo uwe unasema hivyo...isije kunako suruali unapata shida...!!

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 15, 2007

    Mimi nadhani style inayofaa ni kushika kwenye kiuno

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 15, 2007

    Michuzi sikuwezi. Hakuna staili inayofaa hapo. Nilikumbuka picha yako moja mara tu ulipotoka Kendwa mwanzoni mwa mwaka huu, kisha ukaenda kupumzika somewhere, ukaweka picha uliyoipa jina "coco". Ulipigwa tarehe 12 jan 2007 saa 1642 na Sony DSC-L1. Ulipiga huku mikono yako imeshika chupa ya Mirinda na ya maji ya kilimanjaro. Nimeitafuta humu kwenye blog ili niwape link wadau na kusisitiza that is the best style kuhusu mikono, sikuipata. ulishaiondoa wewe misoup. Ila ninayo kwa hard drive hapa. Nahisi aliyekuwa amevaa jeans ya bluu na top nyeusi ni my wife wako, na ndo staili ile ya mikonozz naikubali. Wakongwe wataikumbuka picha hii.

    ReplyDelete
  8. Hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahhahahahah!

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 15, 2007

    Staili ambayo viganja vya mikono yako inaonekana ndio yenyewe. Ni ugonjwa hatari sana huu. O'C-Sinza

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 15, 2007

    Hi
    Bro Michu Huyo aliyevaa nyekundu amejaaliwa maana waswahili usema utamu wa kondoo mkia na ukitaka kula kiti moto chagua aliyenona.
    Staili hiyo ya kuweka mikono kichwani ni poa sana, maana ikikaa sehemu nyingine watasema mikono yako haina Udhu.

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 15, 2007

    style ya kwanza kabisa inalipa mzee.

    pia wadau chekini habari hii ingawa si pahala pake

    MPs quiz govt over Meremeta gold firm: Say contradictory statements from ministers raise more questions than answers




    THISDAY REPORTER
    Dodoma

    THE opposition camp in Parliament yesterday questioned the government over what it described as contradictions in the official statements of cabinet ministers in the National Assembly regarding the controversial Meremeta Gold Mine Company Limited.

    The now defunct gold firm was the beneficiary of more than $100m paid by the Bank of Tanzania (BoT) to offset a huge loan from a South African bank.

    The Shadow Minister for Energy and Minerals, Mohamed Habib Mnyaa (Mkanyageni - CUF), said in Parliament yesterday that Finance Minister Ms Zakia Meghji and her Energy and Minerals counterpart Nazir Karamagi had made contradicting statements with regard to Meremeta.

    Quoting official parliamentary hansard records, Mnyaa noted that while Ms Meghji told the House that the Meremeta gold project was in the final process of ’’winding up,’’ Karamagi later declared before the same House that the government had bought 100 per cent of the company’s shares.

    Reading the opposition camp’s rejoinder to the 2007/08 budget proposals of the Ministry of Energy and Minerals, the MP asked the government to explain the contradictions and come clean on the deal.

    ’’These contradicting government statements are worrisome...if the government has indeed bought the company (Meremeta), then we should be told who were the original owners and why was the gold mine under the control of the TPDF (Tanzania People’s Defence Forces)?’’z he queried.

    He added: ’’These are the questions that still remain unanswered and have caused grumblings and protests among Tanzanians through the government’s failure to give direct answers.’’

    Before being liquidated, Meremeta Gold Mine was registered as a joint venture company owned on a 50-50 basis by the Tanzanian government and a private company called Trinnex (Pty) Limited.

    Investigations by THISDAY have already established that the Bank of Tanzania made dubious payments of over $118m (approx. 150bn/-) to a foreign bank to liquidate a loan issued to the company.

    According to our sources, the central bank made the suspect payments to South Africa’s Nedbank through the New York-based HSB Bank, after the company filed for bankruptcy.

    It has been further revealed that BoT paid an additional $13.34m (approx. 17bn/-) to another bank account under the name of TANGOLD, at the National Bank of Commerce Limited Corporate Branch in Dar es Salaam.

    According to Karamagi, assets and liabilities of Meremeta Gold Mine - including the Buhemba Gold Mine in Mara Region - were transferred to TANGOLD, a new company wholly owned by the government.

    Government sources say that BoT purchased a controversial 155bn/- Treasury bond and later exchanged the amount for US dollar currency, which was used to effect the suspect payments to Meremeta and TANGOLD.

    It remains unclear why the government � through the central bank - decided to clear the loan on behalf of Meremeta Gold Mine Co. Ltd after it became bankrupt, instead of Nedbank filing its claim directly to the liquidator.

    On the mining sector in general, Mnyaa said a recent gold audit report by Alex Stewart Assayers had uncovered massive cheating by mining firms in the country to the tune of billions of US dollars.

    He sought explanations from the government on progress made thus far in the presidential-sanctioned review of all controversial mining contracts.

    Regarding tanzanite mining activities in Arusha Region, Mnyaa said it was a national shame that the country continues to earn meagre revenues from export sales of a valuable gemstone that is uniquely Tanzanian.

    He quoted 2005 global export figures showing that out of total annual sales figures for tanzanite gemstones amounting to $400m, Tanzania received a mere $16m.

    ReplyDelete
  12. AnonymousJuly 15, 2007

    Michuzi ,

    You are so fun ,thanks a lot you have made my day . To answer your question the second one is the best.

    ReplyDelete
  13. AnonymousJuly 15, 2007

    mikono juu,mikono juu!

    ReplyDelete
  14. AnonymousJuly 15, 2007

    Picha ya mikono kichwani imeniwacha hoi! nacheka hapa sina mbavu!

    ReplyDelete
  15. AnonymousJuly 15, 2007

    Yapili mh...sio kuwa ulikua hutaki kushika ila ndugu yangu ulale. Unaonekana ulikua umechoka sana ndio maana wala hukutaka kugusa..

    I like both....

    ReplyDelete
  16. AnonymousJuly 15, 2007

    Gym imepandishwa bei au hutaki kujipa raha tena siku hizi.

    Hiyo picha ya kwanza unaniogopesha ndugu yangu.

    Watch out mwoshowe utashindwa kufunga kamba za viatu na wewe bado mdogo.

    ReplyDelete
  17. AnonymousJuly 16, 2007

    Mheshimiwa ISSA HABARI ZA LEO KAKA...HAO MABINTI WOTE WAZURI WANAKUFAA SANA NA IMANI YAKO RUKSA KUWA NA MKE ZAIDI YA MMOJA...MZEE UNAHISIA KALI NAONA UMENYOOSHA MIKONO JUU NA KIJASHO CHEMBABA KIMEKUTOKA...MZEE UKO WINGA..

    ReplyDelete
  18. AnonymousJuly 16, 2007

    huyu dada kushoto ktk picha ya chini namshangaa kumuona hapo maana anafanya kazi hospitali ya Prof.Matuja mitaa ya upanga opposite na sido mwenyewe kaweka pooozi. Ukimkuta anga zake utamtaka....

    ReplyDelete
  19. AnonymousJuly 16, 2007

    Mhh,Michuzi huyo msichana mwenye nguo nyeusi picha ya pili na tatu ni nani tena? mbona kajishaua hivyo wakati hata sura yenyewe hailipi, macho kama anavuta unga, shepu na mguu kajitahidi kiasi sijui ni muhaya huyo?! mwenye nyukundu katulia.Hapo ni kwenye miss nini tena? kwa ushauri wangu pozi zuri ni la kuweka mikono kifuani n akumuangalia mpiga picha yaani kama unahutubia vile.

    ReplyDelete
  20. AnonymousJuly 16, 2007

    iweke mikono yako mbele ikutane alipo "Mzee Issa michuzi" mwenyewe! Umzibe kabisa! Kama alivyofanya huyo mzee aliyekaa pemvbeni ya Kikwete hapo chini, vinginevyo waosha vinywa wataendelea kuosha tuuu

    ReplyDelete
  21. AnonymousJuly 16, 2007

    jamani hiyo picha ya pili toka juu,huyo dada wa kati gauni jeusi mwangalie miguu,du,mashalah,ananiua wallah!

    ReplyDelete
  22. AnonymousJuly 16, 2007

    Hao dada katika picha ya pili kweli ni bomba halafu ni marafiki wa siku nyingi. Nawakumbuka tangu tulikuwa kule Mlimani (UDSM) kati ya miaka ya 2001 na 2004. Huyo dada mwenye nyekundu anaitwa Imelda na huyo mwingine ni Wiltrude Mtembei(nadhani jina sio geni kwa wasiklizaji na watazamaji wa Star Tv/Redio Free Africa. Wote hao wana wachumba kwa hiyo natahadharisha wenye kutaka kuwinda hapo. Tulipokuwa chuo nilizoea kuwatania.....

    ReplyDelete
  23. AnonymousJuly 16, 2007

    huyo sio willtrudes Mutembei I see umekuwa mdada Mkubwa kweli kweli.Wivina yuko wapiiiii?big up nice picture

    ReplyDelete
  24. Duhhh!!!!

    Long time sana hatujaonana Willitrudis na Imelda!!!Sifa ambayo wengi hawaijui ni kwamba nyie ni bonge la WASHKAJI...Tangu niwafamu UD 2001 hadi 2004 sijawahi kuona hata siku moja ambayo mmenuna au kugombana na watu..

    Msikae kimya sana wanawetu

    Materu

    ReplyDelete
  25. AnonymousJuly 17, 2007

    Ebu tuambie wapi unamiliki hisa na wapi humiliki ili ili tufanye assement ya kweli

    ReplyDelete
  26. AnonymousJuly 17, 2007

    Huyu Imelda ni Mke wa Jerome wa Heineken (MABIBO WINE&SPIRITS) kijana (Jerome)poa sana hana maringo kama watoto wengine wa matajiri…

    ReplyDelete
  27. AnonymousJuly 17, 2007

    NIMEIKALIA

    ReplyDelete
  28. AnonymousJuly 19, 2007

    Michuzi ni vema kuchuja comments zetu lakini sio sawa inayokuhusu ukaacha kuipost hii itatujengea kuendelea kukuheshimu na kuipenda blog yako iliyopata umaarufu na kupendwa NDANI NA NJE.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...