Home
Unlabelled
ninja
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kombo amechoka, Kabunda mambo yake MSWANO ametoka pina.
ReplyDeleteHa ha ha Salum kabunda Ninja nakumbuka kabunda alimrukia Kasongo Athumani in four na kumvunja mpaka Issa Athumani akataka kurusha ngumi.
ReplyDeleteEbwana kweli maisha sio mchezo... Huyu kombo natoka nae ubungo flat pale, ebwana amechoka. Tanzania sports sector haina maana hata kidogo. sasa mcheki ninja kafunga kifungo cha mwisho cha sharti na Joto la dar.
ReplyDeleteKaka Michuzi, usiwe unatek fo granted kwamba kila mtu anajua kila mtu.
ReplyDeleteSasa hapo "Ninja ndo yupi na Kombo ndo yupi?
Hukutumia vielekezi kama "wa kulia" au "wa kushoto", nk.
Wewe wa hapo juu sio mtu wa mpira kama ungekuwa mtu wa mpira usingeuliza swali hilo.
ReplyDeleteSisi watanzania tuko negative mno, Sasa A.Kombo amechoka nini pale mtu ana afya nzuri yuko smart anafuraha mnasema AMECHOKA. Au mnataka avae jeans na vito vya zahabu na na tshirt za majina ndiyo mtajua kuwa mambo yake safi. Kila mtu anampangilio wake wa maisha achane mambo ya kuingilia maisha ya watu deep, kama amechoka hajachoka wewe unapata nini kutoka kwake, Acheni upuuzi nyie. Naona sasa watanzania tunaanza kuwa na maisha ya kizaire kuvaa vizuri ili uonekane kwa watu unakitu lkn kwako watu wanashindia maji. Au mna akili maendeleo yanapimwa kwa magari ukiwa na gari zuri basi mambo yako safi HUO NI ULIMBUKENI JAMANI MAENDELEO HAYAPIMWI KWA MAVAZI, au MAGARI. As longer dude's look happy that's perfect, WEWE UTAFUNUA KINYWA WEEEEEH MWENZAKO ANAFANYA MAMBO YAKE KAMA KAWA.Acheni ushamba
ReplyDeletehahahah...Kaka Michu unanikumbusha mbali na brother Kabunda, nakumbuka mechi moja na RTC Kagera enzi hizo kuna foward mmoja wa RTC, mtoto mdogo maskini,jina naliifadhi ilikuwa ndo mechi yake ya kwanza kucheza dhidi ya yanga. Basi alipoingia akakutana na Kabunda ikabidi amuamkie ''shikamoo brother Kabunda'' akidhani atapata favour ya kutopigwa viatu, ilo jamaa lilikuwa linaogopesha bwana enzi zake asikwambie mtu
ReplyDeleteKwa sheria za sasa, Kabunda ingebidi atafute shughuli nyingine mpira wa miguu asingeweza. Vile vile waamuzi wa wakati ule walikuwa na upendeleo wa wazi bila hivyo hata zamani angetolewa nje kila mechi.
ReplyDeleteHata mie sioni mtu aliyechoka hapo pichani, labda kama hao jamaa wanajua mambo mangine zaidi ya haya yaliyopo kwenye hii picha. ambayo kwa kweli hayamati kwani kwene pipcha mie naona wako fleshi
ReplyDeleteKweli watanzania bao tupo kwenye mambo ya kizamani kuponda ata mtu mwenyewe hujawahi kumwona kama uliwahi kuwasikia wakicheza basi waache usiseme ovyo bila sababu wewe ulikuwa wapi na ufala wako ukucheza mpira wewe ndie umechoka maisha utabaki kusema watu tu. uku wewe ukipigwa chabo haaaaaaaa fala sana nyie watu wenye wivu, ulikuwa unapanga foleni na jua kali fala wewe, mweusi kama tako la firauni.
ReplyDeletemichu hakikisha hii comment unai print na kumpa huyo kabunda wako.
ReplyDeletewe ninja unakumbuka mechi ya mwisho uliyochezea Yanga dhid ya Simba uwanja wa Taifa 1995. unakumbuka tulivyopigwa 4-1 na Simba?ilikuwa ni siku ya jumatano.unakumbuka upuuzi ulioufanya nsiku hiyo uwanjani tena kwa makusudi kisa eti mnaukomoa uongozi wa castro?ilikusaidia nini? heshima yako yanga iko wapi?mtu mzima hoooooovyoooooo!
Babu mjomba ABUBAKARI KOMBO fanyafanya sajari maana unaonekana mzee kuliko KABUNDA una matatizo gani?nakumbuka ulikuwa unaridhisha ulivyokuwa KINONDONI MUSLIM lakini sasa hivi hata MWALIMU HOYYA ENDISAMU au mapombe ya ajabu hayo(pingu)
ReplyDeleteSijaona mtu aliyechoka ktk hii picha, au mnataka watu wawe wanene kama Kaptein Komba ndio mtasema wamewin?, grow up people, huyo unaemsema kachoka mi naona ana afya nzuri kuliko zetu maana magonjwa ya moyo, kisukari na kiharusi hayatampitia karibu. Maintain you body kaka, usijali kuambiwa umechoka. Waliochoka wanaililia kazi inayokuweka wewe mjini
ReplyDelete