mdau joni anatuuliza na picha yake kama tuna habari kwamba zenj kuna ujenzi huu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 17, 2007

    Mimi naona tushauri UJENZI HUU uingizwe kwenye zile NEW 7 WONDERS of the world zilizotangazwa karibuni.
    Au mnasemaje wana Bulogi?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 17, 2007

    Michuzi ni kweli hapo ni zenji.....Hiyo ndivyo ilivyo Stone Town (Mji Mkongwe) Kwa kweli hii sehemu inavutia sana ukitembelea hapo...it is an Historical place that has Unique Features....ambazo zinatakiwa kuwa preserved......ila kwa sasa hizi nyumba zinahitaji ukarabati wa hari ya juu kwani nyingi ni kama zimeoza.....serikali inahitaji kufanya jitihada kuzifanyia ukarabati hali ukarabati huo ukipreserve those fantastic architectural features za mji huu....ambazo zinawavutia watalii wengi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...