maalim suleiman akiwapongeza maharusi ali oki na mai waifu wake juzi kwenye lanchi ya usiku. walifunga ndoa mombasa na kuamua kualika ndugu na marafiki dar kushereheka nao. ali ndiye bosi wa big tv

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 10, 2007

    Michuzi wewe mtu mbaya kweli, yaani nilikuwa nakunywa chai na baada ya kusoma hiyo caption ya picha nikagundua umeandika LANCHI YA USIKU babake mpaka nikaungua kwa chai jinsi mzee mzima nilivyoangua kicheko ! keep it up Michu !

    ReplyDelete
  2. kaka michu unatufanya tunacheka mbavu eti lanchi ya usiku, bi harusi si mchezo amependeza sana anang'aa huyo ali oki ameshinda bingo

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 10, 2007

    du! mshkaji ali oki amenenepa hivo na amekuwa mrefu namkumbuka upanga primary, alikuwa kishotii na mwembamba lakini kwa totoz huyo, mh! sasa tulia basi.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 10, 2007

    Tuulize sie tuliosomanye ALHARAMAIN ya MSABILA na MZEZELE

    alikuwa shoti na swahib yake mkubwa alikuwa KOROSHENI

    zAIDI YA HAYO SISEMI KITU

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 11, 2007

    Aisee Michuzi hapo ndipo unapotukosha washikaji wako tuliopo ughaibuni... Maalim Suleiman watu wengi ambao wamekuja mjini juzi hawamjui... Huyo ni maalim Sulaiman A.K.A Bob Spear kijana wa zamani... Kwa wale tuliocheza disco SANSUI, YMCA na MBOWE tunamkumbuka Bob Spear... Keep going Michuzi kutukumbusha enzi za msolopagazi... Poleni wakuja mliouvamia mji wa watu.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 11, 2007

    Dar ni mji wa watu wa kuja. hata huyo Bob Spear ni mtu wa kuja. Huo "umaalimu" kaupata Dar. Nini cha ajabu?

    Kila aliyefika Dar, basi wapo waliomtangulia. Mara nyingine ni suala la umri tu.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 12, 2007

    Dar-Es-Salaam si jina la asili la mji huo. Jina hilo lilitokana na waarabu, watu wa kuja, waliovamia mji wa watu.

    Kama ulicheza disko MBOWE[mtu wa kuja], halafu unajiona mtoto wa mjini, tayari umekuwa mtu wa Dar, basi wewe ni kichekesho kikubwa.

    .....kuna watu wanaijua Dar tangu enzi za sarafu ya Afrika Mashariki. At least hao wana bragging right za kuwa watu wa Dar.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 12, 2007

    duh siamni kama ali oki ameoa naona kama ndoto maanake mshkaji hana subira na totos hongera aloki hope mshkaji atatulia

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 13, 2007

    Hongera Ali Yoki kwa kujipatia mwana dada murua hayawi yamekuwa
    hongera sana
    dana trading

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 13, 2007

    hongera sana ali oki mimi mshkaji wako sana siku moja ntakuambia nani lakini nakuomba usiende na shemeji zile sehemu za kujirusha maanake umewadanganya wengi kuwaoa lakini una bahati ya kuopoa wewe hebu nipe urithi wa hirizi ya kuwapata wa watoto hongera mzee

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 23, 2007

    unasema Spear ni mtu wa kuja.sawa lakini alikuwa mtoto wa mjini miaka 30 iliopita.Ni miaka mingi kwa maisha ya sasa hivi.Huyu tulikuwa naye Holiday Hotel Mta wa Jamhuri mwishoni wa 1970s.sasa basi

    ReplyDelete
  12. nawonea huruma huyo mwanamke

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...