jaji thomas mihayo (shoto) akiwa na makamu mwenyekiti wa tangayika law society mh. eric ng'maryo wakati wa hafla ya kumuaga jaji mstaafu mh. barnabas samatta. mh. mihayo amepata kuwa mwenyekiti wa tanganyika law society kabla ya kuteuliwa kuwa jaji wa mahakama kuu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 19, 2007

    Jamani miaka inaenda. Eric anazeeka hivyo. Anyway all the bst mzee. You are a good man!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 19, 2007

    huyo jaji msela tu cheki alivokula pozi na tumiwani twake

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 20, 2007

    Adv Eric ninamfahamu kama mmoja wa mawakili mashuhuri sana ... Hongera sana Eric...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...