mawakili wa kujitegemea mh. imani madega (kulia) na mh. mabere marando (pili shoto) wakitaniana wakati wa hafla ya kumuaga jaji mkuu mstaafu mh. barnabas samatta leo. madega ni mwenyekiti wa yanga. sina uhakika mh. marando anashabikia klabu gani

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 20, 2007

    Marando anashabikia Timu ya NCCR-Mageuzi

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 21, 2007

    Du Jamani bongo kuna joto na ma-suit hayo...ona jamaa wa kwanza kushoto suti imelowa jasho..si afadhali kuvaa shati na tai tu..

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...