wadau wa a-taun wakimpa taffu mwenzao siku ya harusi yake hivi karibuni

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 18, 2007

    Wooooo!!! kumbe nimezeeka wanne nawakumbuka sura lakini majina nimesahau. Walikua like kust two classes ahead of me......MH mH mH mH .....

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 19, 2007

    huyo jamaa hapo chini ni John au ? kama ni wewe kweli basi hakuna mtu mwembamba tena.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 19, 2007

    Kweli hii ndo A.Town safu ya juu kuanzia kushoto mwenye kofia kubwa ni Big man(Big Nyaka)Paulo,Richardi Mponda,Bob Richy(St Jude),Skip manzi wa kizungu anafuatia Steve Inabana,Exaud.Safu ya chini kuanzia kulia mwenye miwani kichwani ni Victor Shayo(Sfari makers)Herbet Manyata(Bwana Harusi)Samwel Lugemalila(Victoria Expedition) na dogo Adiili jamani hawa wote ni wakurugenzi na bila hawa vijana hakuna utalii Tanzania

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 19, 2007

    Jamani mlioko majuu kama umeondoka A.Town long huwezi mkumbuka mtu maana hawa ndo vijana wadogo walishikilia usukani kwenye mambo ya utalii hapo kwenye sity ya Arusha.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 19, 2007

    MBONA SIMUONI BI HARUSI?????

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 19, 2007

    hapo kuna vikta,dogo manyata,samweli,hapo chini kama adiri chariii yangu anaishi ujerumani,kuna jina la huyo dogo juu ya victarchembamba hicho ni kpishi mlamba mwiko,kuna jonh sjui kichefuchefu,bob rich,adili tuwasiliane,dogo ufinn,

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 19, 2007

    duuh mbona midume mitupu!

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 19, 2007

    Michuzi wee ni mnafiki nimekutumia picha ya harusi ya kazini wangu ukajidai ooh naomba na ya bibi harusi.Mbona hii picha umeweka simuoni bibi harusi?...Huna lolote.Au ilikuwa harusi ya GAY guys?.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 20, 2007

    Hey nyie wote mmeshaoa. Natafuta mchumba.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 20, 2007

    Dogo Ufinn unaona mambo ya A.Town?

    Bingwa wako wa simu za mkononi U.S.A
    Nitakucheki weekend dogo langu.

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 20, 2007

    duh Adili Mopao Mokonzi msela wako hapa niko Zaire napiga jiwe vp issue za sega dole gunda lilipona! duh BIG TIME mzee.. wazee wa sega au siku hizi wapi?

    ReplyDelete
  12. AnonymousJuly 20, 2007

    Anon hapo juu Sega siku hizi ni pa kihuni karibu VIA VIA au bogaluu au kama una asili za kivuvi njoo the maasai camp umalizie ngoma colubus club.

    ReplyDelete
  13. AnonymousJuly 21, 2007

    Huyo mwenye Pama 77 humkosi na mcheni mkuubwa wenzao Dar hawavai tena

    ReplyDelete
  14. Welcome 2 tha A 2 Tha Town. Huyo Anoni Hapo juu kama alikua ana Mfananisha Adili na John Mrecha kajichanganya kidogo,John kaitia kampuni ya Safari Crators kwenyemkoba kaiamishia Kwa malkia England. Ila walitaka kufanania.Hiyo list mmeikosea jinsi ya kuipanga,Kuna mzeee wa Apatimento Tukumali, Big Time, mali yamungu, Inabana, Pipe range, Mau mau Kwa mbali na Adru

    TVT UK
    mrecha

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...