Home
Unlabelled
a-taun
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Wooooo!!! kumbe nimezeeka wanne nawakumbuka sura lakini majina nimesahau. Walikua like kust two classes ahead of me......MH mH mH mH .....
ReplyDeletehuyo jamaa hapo chini ni John au ? kama ni wewe kweli basi hakuna mtu mwembamba tena.
ReplyDeleteKweli hii ndo A.Town safu ya juu kuanzia kushoto mwenye kofia kubwa ni Big man(Big Nyaka)Paulo,Richardi Mponda,Bob Richy(St Jude),Skip manzi wa kizungu anafuatia Steve Inabana,Exaud.Safu ya chini kuanzia kulia mwenye miwani kichwani ni Victor Shayo(Sfari makers)Herbet Manyata(Bwana Harusi)Samwel Lugemalila(Victoria Expedition) na dogo Adiili jamani hawa wote ni wakurugenzi na bila hawa vijana hakuna utalii Tanzania
ReplyDeleteJamani mlioko majuu kama umeondoka A.Town long huwezi mkumbuka mtu maana hawa ndo vijana wadogo walishikilia usukani kwenye mambo ya utalii hapo kwenye sity ya Arusha.
ReplyDeleteMBONA SIMUONI BI HARUSI?????
ReplyDeletehapo kuna vikta,dogo manyata,samweli,hapo chini kama adiri chariii yangu anaishi ujerumani,kuna jina la huyo dogo juu ya victarchembamba hicho ni kpishi mlamba mwiko,kuna jonh sjui kichefuchefu,bob rich,adili tuwasiliane,dogo ufinn,
ReplyDeleteduuh mbona midume mitupu!
ReplyDeleteMichuzi wee ni mnafiki nimekutumia picha ya harusi ya kazini wangu ukajidai ooh naomba na ya bibi harusi.Mbona hii picha umeweka simuoni bibi harusi?...Huna lolote.Au ilikuwa harusi ya GAY guys?.
ReplyDeleteHey nyie wote mmeshaoa. Natafuta mchumba.
ReplyDeleteDogo Ufinn unaona mambo ya A.Town?
ReplyDeleteBingwa wako wa simu za mkononi U.S.A
Nitakucheki weekend dogo langu.
duh Adili Mopao Mokonzi msela wako hapa niko Zaire napiga jiwe vp issue za sega dole gunda lilipona! duh BIG TIME mzee.. wazee wa sega au siku hizi wapi?
ReplyDeleteAnon hapo juu Sega siku hizi ni pa kihuni karibu VIA VIA au bogaluu au kama una asili za kivuvi njoo the maasai camp umalizie ngoma colubus club.
ReplyDeleteHuyo mwenye Pama 77 humkosi na mcheni mkuubwa wenzao Dar hawavai tena
ReplyDeleteWelcome 2 tha A 2 Tha Town. Huyo Anoni Hapo juu kama alikua ana Mfananisha Adili na John Mrecha kajichanganya kidogo,John kaitia kampuni ya Safari Crators kwenyemkoba kaiamishia Kwa malkia England. Ila walitaka kufanania.Hiyo list mmeikosea jinsi ya kuipanga,Kuna mzeee wa Apatimento Tukumali, Big Time, mali yamungu, Inabana, Pipe range, Mau mau Kwa mbali na Adru
ReplyDeleteTVT UK
mrecha