
mashabiki wakishuhudia yanga wakila tizi leo uwanja wa chuo cha ustawi wa jamii bila kocha wao micho ambaye aliondoka kwenda mapumzikoni mara baada ya wana jangwani kuvuliwa ubingwa kwa njia ya matuta na simba kule mji kasoro bahari. kurejea kwa kocha huyo mserbia bado ni kitendawili ambacho kinahitraji kuteguliwa haraka kwani michuano ya kombe la tsuker ndo hiyo inasogea


Hawa WAMASAI wakisimama ni hizo fimbo zao kwanini huwa wanapenda kuweka kwenye mstari wa suez canal?
ReplyDeleteHata safari iliyopita tuliona MMASAI ameweka fimbo KWENYE SUEZ CANAL hivi anajisikiaje?
Tuletee pia na mazoezi ya Simba ili tujue kwamba hii blogg sio ya mdebwedo tu bali ya wadau wote wa michezo.Kwani wote wanajua kabla ya mtu kuwa Pan Africa lazima timu iliyokuwa inakugongesha moyo ni Yanga au?????
ReplyDeleteNAROBUMENYE...WEWE NGAIYONI WEE
ReplyDeleteAnonymous said...
Hawa WAMASAI wakisimama ni hizo fimbo zao kwanini huwa wanapenda kuweka kwenye mstari wa suez canal?
Hata safari iliyopita tuliona MMASAI ameweka fimbo KWENYE SUEZ CANAL hivi anajisikiaje?
July 20, 2007 1:40:00 AM EAT