MICHUZI,


MIMI BADO NIKO KWENYE MADA YA UZALENDO. ONA KWA MFANO HUYU MZEE WA WATU ANAONA FAHARI KUPIGA PICHA KWENYE BENDERA YA AUSTRALIA; KWELI HII NI HAKI???? HAPA ILIKUA MWAKA 1996 UNAFIKIRI LEO NIKIMUONESHA ATASEMAJE!!! HUYU NI BABA YANGU NA HAPO NI YEYE ALIYETAKA KUPIGA NA BENDERA HII, UNAJUA KWA NINI!! ETI INAMKUMBUSHA MKOLONI SIJUI ALIKUA ANAKUMBUKA NINI BABA YANGU!!!!!! YOTE HAYA NI MATATIYO YA ELIMU YA URAIA NA UZALENDO ULIOKUWEPO LAKINI SASA KWA SEREKARI YA AWAMU HII SIDHANI KAMA KUNA MTU ANAJIFAHARISHA KWA BENDERA ZA NJE.


HAJI WA lukamba@hotmail.com Bongo Dar es salaam

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 11, 2007

    SEREKALI !!!! duh ! bin LOL !

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 12, 2007

    Huyo mtu aliyejatambulisha kizuka yaani anonnymous namshangaa sana kwa sababu hata yeye kama angekuwa katika hali hiyo angeona ujiko kupiga pichana mabendera ya mtoni kwani aoni mabasi yanavyoandika au kuchora bendera za nchi nyingine.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 12, 2007

    hii inaitwa nostalgia kwa lugha ya wenzetu. ni kawaida binadamu kukumbuka raha/furaha za kipindi fulani,it is normal.ukute labda inamkumbusha kipindi alipata kazi,alijenga nyumba,alipata mtoto etc,huwezi jua. halafu kumbuka wakati wa mkoloni pamoja na matatizo ya kutawaliwa/kunyanyaswa lakini walio wengi walikuwa wanapata basic needs at affordable prices,it hurts to say it lakini huo ndo ukweli,waulize wazee.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 12, 2007

    unatafuta beef tu na mshua wako.Atazaa na wewe, unajifanya shujaa kumchoresha!!

    ReplyDelete
  5. Mwacheni mzee wa watu ajikumbushe enzi zake!

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 12, 2007

    Lakini hata hivyo hiyo bendera iko chini juu, Tujivunie ya kwetu kwani hata hiyo ni bendera ya Ukoloni huko Australia sie Bongo tayari tuko huru, mkoloni tumeshamtupa 1961

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...