
MICHUZI,
MIMI BADO NIKO KWENYE MADA YA UZALENDO. ONA KWA MFANO HUYU MZEE WA WATU ANAONA FAHARI KUPIGA PICHA KWENYE BENDERA YA AUSTRALIA; KWELI HII NI HAKI???? HAPA ILIKUA MWAKA 1996 UNAFIKIRI LEO NIKIMUONESHA ATASEMAJE!!! HUYU NI BABA YANGU NA HAPO NI YEYE ALIYETAKA KUPIGA NA BENDERA HII, UNAJUA KWA NINI!! ETI INAMKUMBUSHA MKOLONI SIJUI ALIKUA ANAKUMBUKA NINI BABA YANGU!!!!!! YOTE HAYA NI MATATIYO YA ELIMU YA URAIA NA UZALENDO ULIOKUWEPO LAKINI SASA KWA SEREKARI YA AWAMU HII SIDHANI KAMA KUNA MTU ANAJIFAHARISHA KWA BENDERA ZA NJE.
SEREKALI !!!! duh ! bin LOL !
ReplyDeleteHuyo mtu aliyejatambulisha kizuka yaani anonnymous namshangaa sana kwa sababu hata yeye kama angekuwa katika hali hiyo angeona ujiko kupiga pichana mabendera ya mtoni kwani aoni mabasi yanavyoandika au kuchora bendera za nchi nyingine.
ReplyDeletehii inaitwa nostalgia kwa lugha ya wenzetu. ni kawaida binadamu kukumbuka raha/furaha za kipindi fulani,it is normal.ukute labda inamkumbusha kipindi alipata kazi,alijenga nyumba,alipata mtoto etc,huwezi jua. halafu kumbuka wakati wa mkoloni pamoja na matatizo ya kutawaliwa/kunyanyaswa lakini walio wengi walikuwa wanapata basic needs at affordable prices,it hurts to say it lakini huo ndo ukweli,waulize wazee.
ReplyDeleteunatafuta beef tu na mshua wako.Atazaa na wewe, unajifanya shujaa kumchoresha!!
ReplyDeleteMwacheni mzee wa watu ajikumbushe enzi zake!
ReplyDeleteLakini hata hivyo hiyo bendera iko chini juu, Tujivunie ya kwetu kwani hata hiyo ni bendera ya Ukoloni huko Australia sie Bongo tayari tuko huru, mkoloni tumeshamtupa 1961
ReplyDelete