Home
Unlabelled
Buriani Sheikh Nurdin
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Yaani Michuzi nilivyokuwa nimekumind hujatoa taarifa za kifo cha Sheikh Nurdin? we acha tu maana huyu mzee wetu! Mungu amuweke mahali pema peponi!
ReplyDeleteRIP mzee wetu
ReplyDeleteHii blog sasa utafikiri chumba cha maiti yaani mortuary.Kila sehemu marehemu,marahemu wamejaa marehemu kila kona.Hivi Michuzi unapenda sana maiti wewe mwanga nini?
ReplyDeletekIla mahali marehemu! nitahama blogu lako tukuachie ukae na marehemu wako.
Mungu wape faraja wanafamilia wote wa Sheikh Nurdin
ReplyDeleteINNA LILLAH WAINAILAHI RAJIUN..sisi sote ni wa Mwenyezimungu na kwake tutarejea..Kaka Michu asante kwa taarifa.
ReplyDeleteAugust 27, 2007 11:08:00 PM Wewe weee haya sio vizuri shauri yako mimi naomba kaka michuzi utupe habari kila siku za misiba asiyejisikia kusoma ahame hakuna aliyeshikwa kamba mwenyewe michuzi anafanya kazi ya CHARITY
ReplyDeleteMwenye enzi akuondole yaliyo mazito na akulipe uanyostahili ! R I P
ReplyDeleteMzushi
Inshalah!
ReplyDeleteMwenyezi Mungu atajua mwenyewe atakupeleka mahali gani ambapo anapojua mwenyewe wanastahili kukaa watu kama Sheikh Nurdin.Amin
Mwenyezi mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.AMEN
ReplyDeletewe anon wa aug,27 8:09:00 unafanya mchezo,usifanye masihara na kifo.huenda labda hayajakukuta,tushukuru angalau Michuzi anatupa nafasi ya kutoa salam za pole kwa ndugu zetu wafiwa hata kama hatuwajui kwa sura.ahsante Issa.
ReplyDeleteWhat's wrong with other people? Maana ya kuwa na hii blog ni kupeana habari nzuri na mbaya. Au huyo mshamba hapo juu hajawahi kufiwa? Michuzi keep it up! Tuletee habari zote, nondo, misiba, harusi na anything unachoona ni muhimu kwa jamii. Wewe unayetishia kuhama you can do it! Michuzi hata loose nothing! Kusema kweli hii ni blog amabyo naifungua kila nikiamka na kabla ya kwenda kulala it has been a source of all current events zinazotokea nyumbani, kwa sisi tuliombali at least unakuwa up to date na whats going on. Go Michuzi achana na watu wasiopenda maendeleo. They negative all the time and they can't do nothing!
ReplyDeleteMungu aiweke roho ya marehemu mahali pema peponi,amin.
ReplyDeleteKwa utafiti niliofanya kwenye Blogu za watanzania hii ya Michuzi ndio inaongoza kwa kuwa na marehemu wengi.
ReplyDeleteMimi nimelia sana kulilia waliokufa kwenye hii blogu hadi nimechoka.
Misiba kwenye hii blogu ni mingi kweli hata mtu hujui ulie upi na unyamaze upi.
Mingine badala ya kulia unabaki tu kutoa kamasi maana machozi yamekauka.
Inna lillahi wa inna illahi raji'un,nilikuwa jana napitia tzuk.net ndipo nikaona habari za mzee wetu Sh.Nurdeen,nikajiuliza nimetoka kusoma blog ya Michuzi hajaweka habari za Sheikh lakini anatuwekea habari za 2 moons,kwahiyo leo ni faraja kuona umetutaarifu maendeleo ya maziko,tambua una watembelea site yako wa kila aina,kuna wanao penda wana muziki,kuna wanao wapenda wana siasa na vile vile kuna wanao wapenda ma sheikh na huyu ni mmoja katika ma sheikh wakubwa who will be sadly missed,it's a GAP very hard to fill the work he's done for the Muslim Society it's a big loss.Rest In Peace mzee wetu na pole kwa wafiwa M'Mungu awape subra nasi tuko nyuma yake.
ReplyDeletekuna watu wengine naona bangi nyingi,hivi mnafahamu kama kifo ni part ya life na michuzi kazi yake kututaarifu,na ni wakati mgumu kwa wafiwa all you can do at times like this is to console not burden them with stupidity kuwa blog imejaa vifo wewe mwenyewe utakufa sasa tukuone nawe unakufa tuu machozi sie hatuna tena.
ReplyDeleteWatu wengine bwana ni hasara kabisa sijui vichwa vyao wameweka kamasi sasa mtu unaingia kwenye blogu kupata information sasa unapinga au ndio mila zenu yaani hata maana ya msiba hawajui Nimesikitika kusikia kifo cha sheikh nurdin Mola ailaze roho yake mahala pema peponi amen.
ReplyDeleteINNA LILLAH WAINAILAHI RAJIUN
ReplyDeleteNi msiba mkubwa sana. Mimi binafsi nimefaidika sana na mafundisho ya Sheikh Nurdin
RIP