wadau kunradhi, nimepata ujumbe huo chini nadhani ni wa kutafuta mmbongo kwa ajili ya intavyu ya tv huko udachi. kiinglishi cha mdau sijakinyaka vyema hivyo soma ujumbe uuelewe na nadhani chini ni anuani ya mhusika. mambo ya msaada kwenye tuta wadau....


TV Gelderland is looking for people from all cultures that live in the province of Gelderland, for a program in which we interview these people.
We talk about things as: when and why did you come to Holland, what do you like about Dutch culture and people and what do you think is a strange or not so good habit of the Dutch?
What do you miss from your own country and culture, are there big differences between our cultures?
What kind of job do you have or is it difficult to find one here?

contact:
Esther shija de Heij.
Hesselterbrink 284
7812 EG Emmen
The Netherlands.
Tel: 0031 610341566
: 0031 614488640

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. mbona niliona kwenye kipindi kimoja hapa USA ...sijui alikua govonor au mayor wao (wa dutch ) alikua anaakandia sana wahamiaji. Amesema wameingia kwa nguvu na wamebadili culture yao sana. na pia alikua analalamikia watu wa dini ya kiislamu kwa vile wanavyovaa...It was like two weeks ago.
    Walikua wanaonyesha na picha za mtaa mmoja hivi hapo wanapita watu wamevaa hivi vitu vya wahindi kichwani(wanaume) na wanawake wenye maushungi

    Nashangaa wanataka kuwahoji nini tena wakati alisema wanataka watight zaidi sheria za uhamiaji soon

    ReplyDelete
  2. Inalipa mimi nije wanihoji, ama ndio mambo ya bure tu na hakutakuwa na mabadiliko yoyote hata nikilalamika?

    kama kuna mshiko, tustuane mimi nipo tayari kushiriki hili zoezi.

    Mtafutaji.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...