Home
Unlabelled
jkt mbweni
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
WADAU NAOMBA MNISAIDIE!
ReplyDeleteHAWA JKT NAWAPONGEZA WAMEFANYA KWELI.
HIVI HAKUNA "WORLD KAPU YA NETIBOLI"
KAMA IPO TANZANIA TULISHIRIKI MARA NGAPI?
WAZO:JK AWAPELEKE BRAZILI WAKAJIFUE ZAIDI ILI WAZIDI KUTISHA AU WATULETEE MAKSIMO WA NETIBOLI.
NI WAZO TU WADAU
WADAU NISAIDIENI. HIVI TIMU HII YA JKT MBWENI MAVAZI YAO YANANIPA KITENDAWILI.
ReplyDeleteJEZI ZA ADIDAS, TRAKSUTI NIKE! HII NI WA WAPI HII JAMANI. AU KUTAFUTA JEZI ZA MAFUNGU KATIKA MADUKA TOFAUTI? NAULIZA TU ILA MWENYE KUTAKA MALANI, AJITAYARISHE WALA SIWAOGOPI. MIMI KIBOKO KWA MALANI. JARIBUNI MUONE KAZI YANGU.
Duh...huyo aliyeshika kombe hiv ni mdada kweli huyo?....mmh!
ReplyDeletekazi nzuri JKT!
jamani hii netball au football mbona wanaonekaka kama wanaume?...mmmh au zoezi la kwata kali!!!
ReplyDelete