jkt mbweni leo wametwaa ubingwa wa supa ligi ya bara ya netiboli baada ya kuwashinda mahasimu wao jeshi stars kwa wingi wa magoli ambapo walipopambana juzi walifungana 19-19

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. WADAU NAOMBA MNISAIDIE!
    HAWA JKT NAWAPONGEZA WAMEFANYA KWELI.
    HIVI HAKUNA "WORLD KAPU YA NETIBOLI"

    KAMA IPO TANZANIA TULISHIRIKI MARA NGAPI?
    WAZO:JK AWAPELEKE BRAZILI WAKAJIFUE ZAIDI ILI WAZIDI KUTISHA AU WATULETEE MAKSIMO WA NETIBOLI.
    NI WAZO TU WADAU

    ReplyDelete
  2. WADAU NISAIDIENI. HIVI TIMU HII YA JKT MBWENI MAVAZI YAO YANANIPA KITENDAWILI.
    JEZI ZA ADIDAS, TRAKSUTI NIKE! HII NI WA WAPI HII JAMANI. AU KUTAFUTA JEZI ZA MAFUNGU KATIKA MADUKA TOFAUTI? NAULIZA TU ILA MWENYE KUTAKA MALANI, AJITAYARISHE WALA SIWAOGOPI. MIMI KIBOKO KWA MALANI. JARIBUNI MUONE KAZI YANGU.

    ReplyDelete
  3. Duh...huyo aliyeshika kombe hiv ni mdada kweli huyo?....mmh!
    kazi nzuri JKT!

    ReplyDelete
  4. jamani hii netball au football mbona wanaonekaka kama wanaume?...mmmh au zoezi la kwata kali!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...