wanja letu la neshno stedium kwa nje.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. I hope tutaweza kuwa wasafi kidogo na kuliacha wanja letu hivyo hivyo.

    Linavutia kweli

    ReplyDelete
  2. narudi nyumbani jamani. labda nitapata kazi ya kufagia hapo. nimefagia sana kwa muda kwa hiyo nina ujuzi mkubwa tu wa kufagia that is my CV

    ReplyDelete
  3. Kaka Michu,
    Hivi huu uwanja ni msaada au ni kiasi gani wabongo wanawalipa wachina kwa ujenzi wa uwanja huu. Kama ni wa bure si bure, kuna kitu hawa wachina wanatutaka, kwa bahati mbaya sana bongo bado hatujagundua hilo!!!

    ReplyDelete
  4. Ndugu yangu unayehofu wachina, naomba usihofu , hawana ubaya wa kuwazidi Europeans . Sisi hatuna mtaji , hivyo inabidi tuwatumikie hawa wenye hela.

    LOL ! wewe unayetaka kuja fanya kazi ya kufagia , mshahara wake utauweza ?
    ...uzuri wakufagia Ulaya , unaweza kujikimu sehemu nzuri ya kulala, usafiri bora na maisha bora kwa ujumla .achilia mbali kuwa unaweza kutuma vijesenti vya kumlipa mesenja wa bongo kila mwezi .

    ReplyDelete
  5. Duh! Hiyo bili ya luku, wala sitaki kuifikiria.

    ReplyDelete
  6. WABONGO WALIO WENGI WAKITOKA BARA WANATABIA YA KUPIGA PICHA KWENYE DARAJA LA MANZESE.

    KWA MATAJI HUU NAFIKIRI WALE NDUGU ZAKE NA BRAZA MICHU WAZAEE WA KUFOTOA MAPICHA NAFIKIRI WATAHAMA MANZESE NA WATAKUWA HAWACHEZI MBALI NA HAPO UWANJANI.

    NAJUA MASANJA,RUTASHOBYA,MAGANGA,TARIMO,MUSHI,MACHINGA ILI KUDHIHIRISHA HUKO BUSH KWAO ALIFIKA DAR LAZIMA SASA WATA TAKA KUPIGA PICHA HAPO NJE YA LI NYU STEDIUM.

    ILA NA MIMI NIKIJA BONGO HAPO LAZIMA NILE LISNEPU.

    ReplyDelete
  7. jamani hivi ni umeme wa tanesco huo ama generators zao? maana mambo ya tanesco itauwa ni hivi.....kukata umeme wakati jamaa anaenda kufunga bao!!. na kama ni generators basi na sikitika sana maana hamna mtu anaamini tanesco inaweza kutua umeme masaa 24 siku 365 za mwaka kama nchi zingine.

    ReplyDelete
  8. Uwanja umependeza sana,ila ninawasiwasi na maendeleo yake kwa Watanzania, ukarabati hautafanyika, pesa itayopatikana hapo watu watatia matumboni na kujenga mahekalu, kukiitajika ukarabati utasikia pesa hakuna , hapo ndipo panapo shangaza, wakati pesa inayopatikana hapo kiwanja kinaweza kujiendeleza.
    Tanzania tuache ulafi, bila kufikiria.

    ReplyDelete
  9. WOOW !! C'est Magnifico!! Bravo Che Nkapa, hao wanga wanaochonga eti umekwiba mihela ya Umma wakafiliwe mbali

    ReplyDelete
  10. MICHUZI NIMEWEKA KOMENTI ZANGU NAULIZA. HIVI MAMBO YA KURUKA UKUTA KAMA ULE UWANJA WA ZAMANI NDIYO HAKUNA KWENYE WANJA HILI JIPYA?
    SIYO SIRI MIMI KIINGILIO CHANGU KILIKUWA NAULI YA DALADALA. NIKIFIKA UWANJANI NILIKUWA NAKULA SAHANI MOJA NA MIJIBWA YA POLISI, FARASI NA MGAMBO WA VIRUNGU. DUH KWELI SAFARI HATUA. NIMETOKA MBALI JAMANI HADI SASA NIPO UGHAIBUNI NA HUKU MAMBO YA KURUKA UKUTA (GATE CRASH) NI MARA CHACHE SANA.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...