Home
Unlabelled
wanja
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
I hope tutaweza kuwa wasafi kidogo na kuliacha wanja letu hivyo hivyo.
ReplyDeleteLinavutia kweli
narudi nyumbani jamani. labda nitapata kazi ya kufagia hapo. nimefagia sana kwa muda kwa hiyo nina ujuzi mkubwa tu wa kufagia that is my CV
ReplyDeleteKaka Michu,
ReplyDeleteHivi huu uwanja ni msaada au ni kiasi gani wabongo wanawalipa wachina kwa ujenzi wa uwanja huu. Kama ni wa bure si bure, kuna kitu hawa wachina wanatutaka, kwa bahati mbaya sana bongo bado hatujagundua hilo!!!
Ndugu yangu unayehofu wachina, naomba usihofu , hawana ubaya wa kuwazidi Europeans . Sisi hatuna mtaji , hivyo inabidi tuwatumikie hawa wenye hela.
ReplyDeleteLOL ! wewe unayetaka kuja fanya kazi ya kufagia , mshahara wake utauweza ?
...uzuri wakufagia Ulaya , unaweza kujikimu sehemu nzuri ya kulala, usafiri bora na maisha bora kwa ujumla .achilia mbali kuwa unaweza kutuma vijesenti vya kumlipa mesenja wa bongo kila mwezi .
Duh! Hiyo bili ya luku, wala sitaki kuifikiria.
ReplyDeleteWABONGO WALIO WENGI WAKITOKA BARA WANATABIA YA KUPIGA PICHA KWENYE DARAJA LA MANZESE.
ReplyDeleteKWA MATAJI HUU NAFIKIRI WALE NDUGU ZAKE NA BRAZA MICHU WAZAEE WA KUFOTOA MAPICHA NAFIKIRI WATAHAMA MANZESE NA WATAKUWA HAWACHEZI MBALI NA HAPO UWANJANI.
NAJUA MASANJA,RUTASHOBYA,MAGANGA,TARIMO,MUSHI,MACHINGA ILI KUDHIHIRISHA HUKO BUSH KWAO ALIFIKA DAR LAZIMA SASA WATA TAKA KUPIGA PICHA HAPO NJE YA LI NYU STEDIUM.
ILA NA MIMI NIKIJA BONGO HAPO LAZIMA NILE LISNEPU.
jamani hivi ni umeme wa tanesco huo ama generators zao? maana mambo ya tanesco itauwa ni hivi.....kukata umeme wakati jamaa anaenda kufunga bao!!. na kama ni generators basi na sikitika sana maana hamna mtu anaamini tanesco inaweza kutua umeme masaa 24 siku 365 za mwaka kama nchi zingine.
ReplyDeleteUwanja umependeza sana,ila ninawasiwasi na maendeleo yake kwa Watanzania, ukarabati hautafanyika, pesa itayopatikana hapo watu watatia matumboni na kujenga mahekalu, kukiitajika ukarabati utasikia pesa hakuna , hapo ndipo panapo shangaza, wakati pesa inayopatikana hapo kiwanja kinaweza kujiendeleza.
ReplyDeleteTanzania tuache ulafi, bila kufikiria.
WOOW !! C'est Magnifico!! Bravo Che Nkapa, hao wanga wanaochonga eti umekwiba mihela ya Umma wakafiliwe mbali
ReplyDeleteMICHUZI NIMEWEKA KOMENTI ZANGU NAULIZA. HIVI MAMBO YA KURUKA UKUTA KAMA ULE UWANJA WA ZAMANI NDIYO HAKUNA KWENYE WANJA HILI JIPYA?
ReplyDeleteSIYO SIRI MIMI KIINGILIO CHANGU KILIKUWA NAULI YA DALADALA. NIKIFIKA UWANJANI NILIKUWA NAKULA SAHANI MOJA NA MIJIBWA YA POLISI, FARASI NA MGAMBO WA VIRUNGU. DUH KWELI SAFARI HATUA. NIMETOKA MBALI JAMANI HADI SASA NIPO UGHAIBUNI NA HUKU MAMBO YA KURUKA UKUTA (GATE CRASH) NI MARA CHACHE SANA.