
mdau aleyfex hapa mwisho wa wiki iliyopita alipata nafasi ya kutoa somo juu ya muziki wake bongo flava kwa ujumla huko st. louis katika shule ya chaminade prep college. hakutegemea kabisa mwitikio alioupata hasa ukuzingatia asilimia 99 ya wanafunzi ni wazungu tena kutoka rich class. alifunga somo kwa wimbo wake wa mikono juu na wanafunzi wote walikuwa tayari wanaufahamu kuonesha kuwa hawa watu kwa research wazima kweli kweli na wote walisimama na kuirudi ngoma.Wamemuomba arudi tena afanye concert na hakuwa na pingamizi. tarehe itatolewa baada ya mazungumzo na wasanii wengine yatakapokamilika.
Ndio maana hawa wenzetu wa Marekani wanaendelea kwa kasi ya ajabu kwa kuwa hawana mapozi katika kujifunza. Hapo watachota knowledge kisha kuchukua vionjo vya Bongo Fleva wanavyoona vinafaa kwa masoko yao na kuipua vitu vikali na kutengeneza mamilioni ya dola. Huyo mdau atabaki kujifagilia kuwa ah mi ndio niliwafundisha bwana.
ReplyDeleteAnyways, BUG UP mdau kwa kureprezzent Bongo.
Prep school....???? watu bwana
ReplyDeleteebana next time ukija stl check nasi wadau wa stl kama vipi tukuonyeshe vichochoro,
ReplyDeletebongosnap@kusadikika.com
Kaka Alex naona mambo yako not Bad at all! Keep it up man but Bongo ndio umeisuuusa! any way have a good day. John on be half ya kampan Davis, Osmund and Mwamba.
ReplyDeleteHuyo msela wa stl man nimezicheki tracks zake eastafricantube.com kijana mzima.pia ana page myspace www.myspace.com/aleyfex.tumpe support.
ReplyDeleteYeah mimi nimesikiliza track zake kali sana pale www.eastafricantube.com na ukitaka track yake ya mikono juu ingia hapa ni kali sana http://www.eastafricantube.com/media/502/Aleyfex_-_Mikono_Juu/
ReplyDelete