zamani ilikuwa ni pale neshno na sasa ni katika hiki kiwanja kilichopo ostabei ambapo wanaojifunza kuendesha gari hutumia. kwa msemo mwingine ni kwamba dar haina sehemu maalumu ya kujifunzia gari ukiondoa kule chuo cha usafirishaji ambako kuna mafunzo maalumu kwa madereva wa ngazi za juu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Kiwanja ni kile cha pale karibia na Makao makuu ya Jeshi Upanga, opposite na Diamond Jubilee.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...