Hii ni baa ya mwisho kabisa,, kabla hujaingia uwanja wa Emirates, nasaa hii ni 12.45 jioni, muda mfupi kabla ya mchezo kati ya Arsenal na Seville kuanza, kila mtu ana pint na ni mwezi mtukufu...... makutano yaTollington park na Hornsey road, ni maalumu kwa wapenzi wa Arsenal tu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. michuzi ulie tu,washika bunduki tunatisha,nimepita hapo tollington pub muda sio mrefu watu kibao wanakunywa,raha tupu. mourinho nasikia kajiuzulu usiku huu,bado ferguson atafuatia tu.

    ReplyDelete
  2. "kila mtu kashika pint, na ni mwezi mtukufu.." we Michu si kila mtu yanamhusu hayo, wengine wala hawana habari na hilo. Ingekuwa Bongo labda ungeeleweka!

    ReplyDelete
  3. Michu hicho kimoko kilichokanyaga mstari ni cha Mr. Bean au nakifananisha?

    ReplyDelete
  4. Sevila wamekula siliiii oclock, hawa serengeti boyz wa london na Prof wao Wenga nawaamini sana! na bado Debby walahi..

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...