Home
Unlabelled
timu kamambe ya nbc united
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
mmmhhhh na maximo haponi kweli maana jamaa wanaonekana ndo kwanza wametua toka mlingotini,maximo atapona vipi!
ReplyDeleteEhe chego umepona goti??? basi afadhali tufufue posta na simu ya zamani kuliko NBC ya baba Chabala na Magomba?
ReplyDeleteVitambi tuu hakuna kitu hapo!!
ReplyDeleteHawa Jamaa nimewaona pale uwanja wa bandari,sio siri wamedhamiria bwana. Sijui wana mpango gani lakini speed walionaza nayo kama itakuwa hivyo hivyo watatisha
ReplyDeleteHao hamna lolote, wanatafuta APPETITE tu!!!!!!!!!!!!
ReplyDeleteJamani eheee! Tuweke utani pembeni na Vitambi Pembeni, Kuna haja ya kuwa na wachezaji wenye nguvu na kisha Vipaji na Mbinu, (kwa maana ya Lishe ni muhimu sana) ndani ya soka la Tz Kwa ujumla. Mimi nilipata Fursa ya kushuhudia Jamaa walio watoa kamasi Dar Young Africa walivyokuwa wana pata Lishe yao pale Hotel moja Dsm (Giraffe Ocean View) Jamani si Mchezo. Unakuta kila mchezaji ana kandamiza plate si chini ya Tano. Waandishi wentu na wataalam wetu wa soka mpo hapo? Mpaka hotel ikawa ina lalamika hawakujua kama jamaa wanafuta tena chini ya msimamizi kuwa kila mtu kala kiasi na quality fulani fulani.
ReplyDeletenaona vitambi tu hapo,labda hawatatumia sheria za fifa katika michezo yao.mfano mpira dakika 90 wao watacheza 30.15 mapumziko harafu wanamalizia 15
ReplyDeletePUNGUZENI BIA
ReplyDeleteInaleta matumaini kwani nyinyi mnaosema vitambi je nyie mnafanya mazoezi? au mna point fingers tu kwa wengine ambao wanajaribu. Inapendeza kuona kuwa ari ya michezo inarudi TZ. kama miaka ya 80's wakati mashindano ya shimuta, shimiwi, na mengineyo. I was myself playing for NBC.
ReplyDelete