NYOTA WA HOLLYWOOD BEN AFFLECK NA MATT DAMON WAMETUA BONGO KIMYAKIMYA NA GLOBU YENU INAPELELEZA WALIPO MPATE BREKING NYUUZZZZ ZA UHAKIKA. ANGALIA NAFASI HII...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. REF:MUNDHIR MUNDHIR

    MICHUZI MIMI NAMPA POLE MHESHIMIWA MBUNGE KWA AJALI MBAYA ALIYO PATA LAKINI HII HABARI NINAYO POST HAPA CHINI IMENISHANGAZA NA KUNIUDHI SANA, MDAU SOMA UTOE KOMENTI ZAKO...

    Baada ya ajali hiyo, Mhe.Mudhihir alikimbiziwa katika hospitali ya mkoa ya Sokoine, kisha akapelekwa katika Hospitali ya Misheni ya Nyangao mkoani Lindi ambako alikatwa mkono wake wa kulia uliokuwa umevunjika na kusagika mfupa wake mkubwa.

    THEN ENDELEA....

    Wakati huohuo, kipande cha mkono wa kulia wa Mhe. Mudhihir kilichokatwa baada ya ajali kimesafirishwa hadi Lindi na kuzikwa jana kwa heshima zote. SOURCE: Alasiri 2007-09-15 16:02:23
    Na Emmanuel Lengwa, Jijini



    MICHUZI HIYO HESHIMA ZOTE ZINAZO SEMWA INAMAANA HUO MKONO ULIIMBIWA NYIMBO YA TAIFA NA KUPIGIWA MIZINGA KAMA ALIVYOZIKWA BABA WA TAIFA? HII HUONI KAMA NI AIBU KWA TAIFA MKONO WA MTU AMBAYE YUKO HAI UNAZIKWA KWA HESHIMA ZA KITAIFA SASA WA MKAPA UTAZIKWAJE WADAU? WABONGO KWA MBWEMBWE HATUJAMBO....

    ReplyDelete
  2. Sasa changamkeni ndugu zangu.Jamaa wako bongo kufanya kazi ya mambo ya human rights, tafuta picha zao watumie people magazine.

    I hope kutakuwa na international headlines kuhusu ziara yao hii.

    ReplyDelete
  3. UCHUNGUZI UMEONYESHA KWAMBA MASTAA WENGI WA MAREKANI WAKIJA BONGO WANAKUJA KIMYAKIMYA, TOFAUTI NA NCHI NYINGINE. JE WATU WAMEWEZA KUJIULIZA NA KUPATA JIBU NI KWA NINI? LABDA BWA' MICHUZI UNAWEZA UKATUSAIDIA KWANI UPO KARIBU NA KIKWETE KWA KUMUULIZA YEYE NI KWA NINI?
    AHSANTE.

    ReplyDelete
  4. Ben & Matt in Africa?
    Category: General

    This was a PerezHilton.com article posted, I guess, yesterday:

    PerezHilton.com readers Seko and Christina live in Tanzania, East Africa, and they ran into Matt Damon and Ben Affleck there on Thursday!

    What the heck are those two doing in Tanzania???? (Find out below.)

    And, more importantly, how cool is it that some sexy peeps are reading our little website all the way in East Africa???? Way cool!

    Here’s what the ladies had to say of their encounter:

    “My friends and I live in Tanzania, East Africa (BONGO) and we just bumped into Ben and Matt at a hotel while we were having happy hour. They were the most down to earth and most awesome guys we have met in a while ( THEY ARE NOW TANZANIAN LEGENDS!!). Honestly, they were so nice and were down to take a photo with us. Matt Damon even introduced himself!! How cool is that? Plus we are pleased to report that Ben Affleck is totally HOT! and very very tall. They are here for aid work and even after a full day, they still posed for a photo. We urge everyone to go watch the Bourne Ultimatum!!”

    ReplyDelete
  5. wadau nisaidieni,huyu ben afleck na matt sijui bin nani ni nani hao jamani?mi mbona siwajui?ni wabeba mabox au?

    ReplyDelete
  6. haya mambo hayo!kwa nini waje ka kujificha au ndio wamekuja kusaini mikataba ya madini??buzwaaaaaagiiiii##$$%

    TID,MWANA FA,AY,FID Q na nyinyi mkienda USA,mjifiche kama wenzenu!!kwani wote nyinyi ni mayota!!
    by SEOUL...

    ReplyDelete
  7. Hmmmm Mambo ya Ben Affleck sio, ni noma check comments hizoo...

    http://perezhilton.com/?p=5510

    Kumbe hapa kwako Issa hakuna waosha vinywa kabisa!!!!

    ReplyDelete
  8. Ukitaka kuiona picha ya anon hapo juu aliyekutana na Ben Affleck bonyeza http://perezhilton.com/?cat=23

    ReplyDelete
  9. HII NI KWELI...YAANI WATU WENGI MAARUFU WA USA WAKIENDA BONGO HAMNA PUBLICITY YEYOTE. WAKISHUKA SOUTH KILA MTU ANAJUA LEO MADONNA YUPO NAMIBIA, KESHO UTASIKIA MWINGINE YUPO ZIMBABWE.

    CLINTON, JAY Z, BIONCE, JAH RULE, MATT NA BEN ..ETI WAKO BONGO WANGGENDA SOMALIA KILA MAHALI WANGEJUA....YOTE TUNAYASIKIA KWENYE MICHUZI BLOG

    MPAKA PEREZHILTON AMESHANGAA WHAT THE HECK ARE THOSE DOING IN TANZANIA??? ...ILA ASIJIDAI SAN MSPANISH HUYU KWETU KUZURI KULIKO HUKO ALIKOTOKA....THOUGH IN GENERAL HAWAJUI HATA TANZANIA NI WAPI HAWA...IT IS A SHAME TUNATAKIWA TUITANGAZE NCHI YETU WATU WAIJUE NA WAKIJA WASIJE KIMYA KIMYA AU KUONA AIBU....HALAFU WAKIONDOKA WANAWAELEZA WENZAO NENDA UKAPAONE PAZURI KWELI...WANAKUJA TENA ..KIMYA KIMYA...

    ReplyDelete
  10. Bongo upublisize ujio wa mastaa na hapo kwa watani kuna magaidi unacheza nini?Wakenya siku hizi wakija bongo kuibia vibenki vyetu wanakua na silaha utafikiri wanataka kuiteka serikali

    ReplyDelete
  11. Ben Afflek na Matt Damon walikuja for humanitarian causes kama sehemu ya fu ndraising kwa ajili ya msaada katika nchi zenye matatizo ya HIV/AIDS Makaria n.k. Wao ni sehemu ya LIVE AID ya Bono yule artist wa Ireland .Sasa hivi wako Zenj.
    Ni kweli wengi wao kama akina Bob Geldof pia wamesha kuja lakini siyo kimya.Sema tu Tanznaia hatuna utamaduni wa publicity for Hollywood stars hasa serikalini.

    UNICEF goodwill ambassadors ndiyo mara nyingi hufanyiwa publicity na UNICEf yenyewe kama ilivyokuwa kwa akina Angelique Kidjo alipokwenda Kisarawe,Susan Sarandon,Jerry Rawlings alipokwenda Bagamoyo na wengineo.

    Ukweli ni kwamba TZ ni kivutio basi tu!

    ReplyDelete
  12. http://canadianpress.google.com/article/ALeqM5jt52uRZ9csNFM4A-i4KphvpqRagQ

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...