Home
Unlabelled
noti
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Nimecheka!
ReplyDeleteKiswahili ni "hela za makaratasi" kwa kiingilishi ndio noti (andika kwa kiingilishi).
Wadau mambo zenu, Michuzi kazi nzuri.
infwakt noti ni jina kiingereza NOTE ambalo tumeligeuza kuwa kwa kiswahili so noti ni NOTE kwa kiinglish....
ReplyDeleteNoti kwa kingereza na BILL,
ReplyDeleteCheki mkorogo ulivyo kubali hapo ndio wazaire wnavyo niacha hoi
ReplyDeleteIt's called a Bill.
ReplyDeletenoti ni bill kwa kiingereza
ReplyDeletemichuzi, noti kwa lugha ya wazungu wa kiingereza inaitwa "BILL" ie..A Dollar Bill, $ 10 dollar nk..upo hapo ?
ReplyDeletesarafu=coin
ReplyDeletenoti=paper curency
No T !
ReplyDeleteMichuzi wasikuyayushe hao, NOTE ni British English na BILL ni American English.
ReplyDeleteA.Town hizi noti zinaitwa "Vyeti au maji
ReplyDeletekwa kiingilishi fasaha (british english) zinaitwa “bank notes”. Na zilitwa hivyo kwa makusudi ili kuzitofautisha na notisi za kwenye daftari. Upo hapo?
ReplyDeleteNOTI KWA KISWAHILI AU KIINGEREZA NI KIDAGALA MKIA MNAKULA SANA KULE KWENU UMAKONDENI. KILA KITU WEWE ITS NOT RICHABO. NUNUA KAMUSI YA KISWAHILI-ENGLISH BASI. NYODO.
ReplyDeletehawa jamaa wa zaire inaonekana hela haina thamani kabisa,hapo usishangae hiyo ni hela ya mlo mmoja.
ReplyDeleteTusaidiane ili tupate picha kamili.Kumradhi kwa wale walio ktk swaumu!
ReplyDeleteHivi DRC bia ni sh ngapi?
naomba wale waliowahi tembelea huko hivi karibuni watujulishe.
hapa nyumbani kwa sasa bia za hapa home ni buku hadi buku na jiti -1100/= ktk bar za kawaida za wazalendo.
./
michuzi mimi sio hao wenye longo longo. huwa sipendi kutoa comments maana watu wengi hapo wana boa.
ReplyDeleteMwanzo nitapenda wabongo waheshimu watu hii ubaguzi wa Kabila, sijui majina ya mabox its all waste of time. huyo mdosi ni Mtanzania musisahau citizenship inapatikana by birth or naturalization na mtu akiwa katika hizo categories anagombea u miss Bongo bila ya was was.
Tatu siku hizi Dunia imechanganyika Wazungu wengine ni shemeji zenu sio wa dating wamewaolea dada zenu. mukitaja watu tajeni sehemu waliotoka kwani mkitaja e.g mwafrica ametoka wapi? tajeni sehemu.
NA JIBU SWALI:
SARAFU NI COIN / COINS
NOTI NI NOTES KIINGEREZA
NOTI NI BILL KIMAREKANI
hivyo inategemea unaongea English or american