

idd mubarak ndiyo hiyo inakonyeza na da'ashura anakwambia kajaza stoki kibao ya vimbwanga namna hiyo dukani pake karibu na bilikanaz. ama mtembelee www.belle-dame.co.tz utapata maelezo zaidi
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hizi nguo kwani ni lazima ziwe oversize?Au ndo mambo ya kuendekeza unono?Da Ashu nijibu maana mi mwembamba na nataka nguo zinazo nifiti je nitapata?Tuko pamoja dada yangu.
ReplyDeleteNguo za wanume zenye mikunjo kunjo zingepigwa pasi kwanza!
ReplyDeleteOtherwise, fantastic!
Huyu da Ashura ni mtoto wa mzee Kawawa au nimemfananisha?
ReplyDeleteoya siyo mikunjo ni linen ya nguvu. ila sijapenda stail utaonekana ka mnigeria ukivaa hivyo nataka ubunifu wa kibongo like that africa sana staff on that wedding.uza lakini usiseme ni mavazi ya asili yetu. DOS
ReplyDeleteI like to see a woman akijiendelesha herself...you people talk too much!!Mngeinia kwenye website mngeona kaandika kwamba hizi nguo ni za ki west africa the same way mnaleta nguo za ulaya etcetera..mkauza!!na ukiangalia yeye mwenyewe ni mkubwa kwahiyo inabidi ziwe pana!!Anony, hapo juu nenda kwenye duka lake utapewa size yako na ukitaka fittings unaweza ukafanyiwa inawezekana!!P.S. kwa da ashura picha nyingine hazijakuwa uploaded properly kwenye site yako!!Keep moving
ReplyDeleteWabongo kwa kudesa bwana ni kiboko yao. Haya ni mavazi ya watu wa Afica Magharibi na kati. Sisi Tanzania always ni kichwa ya mwendawazimu tu- tukiona hiki au kile,tunanyakua!! Sasa lini jamani tutajaona Swala lililoanzishwa bongo linaigwa nchi zingine. UMASKINI WA MAWAZO MTUPU KAMA ALIVYOWAHI KUONA NYERERE "Hakuna ugonjwa mbaya kama umaskini wa mawazo"
ReplyDeleteHaya mavazi ni ya waafrika wote na west africa ni waanzilishi wa mavazi hayo.Mwafrika yoyote akivaa mavazi haya anapendeza.
ReplyDeleteKuna ubaya gani huyu mjasiamali akiuza nguo za west Africa? Mbona hampigi kelele maduka yanayouza european suits?
ReplyDeleteAma kweli wambili havai tatu.
Nakuona pioka, si mchezo, huonekaniki kumbukumbu siku hizi, kumbe umemicha humo?
ReplyDeletemdau - kinondoni shamba