Home
Unlabelled
ushirika
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
kati kati hapo mtaa wa kipata.
ReplyDeleteIngekuwa wengi tuna nyumba zenye hadhi,maji ya bomba safi na umeme majumbani vinakuja kwa kasi hivi mbona tungekuwa na ya kujisifia!!
ReplyDeleteHayo maghorofa makubwa na mareeefu ya makampuni sijui yanatufaidisha vipi sisi wazalendo tulio wengi ikiwa mambo ya kimsingi hayatoshelezwi.
na katika kati kati hapo kwenye mtaa huo wa kipata unapandisha juu na kusonga mbele ha hiyoo unaiona nyumba yetu jamani eeeeeh!!!! kwetu napatamani lakini siwezi kuja maana sina makaratasi bala nimelitafuta mwenyewe la kuja majuu na bado najiona niko machini na mchizi.
ReplyDeletewadau nichangiyeni tiketi niende kwetu.
michu unanizingua kwa picha za mitaa ya kwetu nalia kimoyo moyo sina wakunipoza huku majuu..