madafuzzz yamekuwa ngangaari ama ngunguri kwa wiki ya pili mfulilizo sasa...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Mbona ndio inaporomoka kama maporomoko ya victoria fall

    ReplyDelete
  2. Michuzi hebu tupatie taarifa ni kwa nini shilingi imeimarika ghafla. Unajua kuna wadau wameshaanza kuchonga eti oooh kwa sababu ya Dr. Slaa kutoa list ya wafisadi benki kuu.

    Naomba utimize wajibu wako kama mwanahabari utupashe wadau taarifa rasmi kuwa ni nini kinaendelea.

    ReplyDelete
  3. hili la mporomoko wa shilingi kupungua liko wazi,ukweli ndo huo kwamba baada ya bomba la benki kuu kufungwa na kina Slaa demand ya dola imekuwa ndogo,maana kwenye peak ya wizi BOT jamaa walikuwa wanazoa midola tu na kupeleka dubai,kuna anayebisha kwa hilo?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...