Home
Unlabelled
dar
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
michuzi eh,msema kweli mpenzi wa mungu.pamoja na bifu lako na RAY C mi naomba upost angalau picha moja ya huyu mtoto,binafsi ninam miss sana.najua waosha vinywa watapiga kelele sana we usijali bandika tu,halafu yuko wapi kwa sasa ki ziara?
ReplyDeletekushoto breakpoint hapo.
ReplyDeleteMkabala na jengo hilo ni 'Millennium Tower'. Kwa kweli Dar panakua kidogo.
ReplyDeleteLOOKS ..OKAY..
ReplyDeletenimetembelea hiyo globu, nilikuwa namshauri afikirie kutumia neno through badala ya with pala alipokuwa anajaribu kutafasiri tembelea Jiji la Dar kwa picha.
ReplyDeleteWengine mtaangalia kama neno photo lilikuwa linafaa zaidi ya picture.
Back to miz Yu Es, it stinks!
Yaani mtu ashinde november 2007 akiwa 26 years of age,zen akashindane na wadogo zake richa wataingia na miaka 19 ya kuzaliwa!
Ulietoa tangazo sema wewe uko arabuni na wakati unatoa tangazo ndio ilikuwa fulz dei ya Arabuni.
Huyu paparazzi mwenye globu ya jijiladar anatisha. Michuzi hatimaye umepata mshindani mwenye spidi, na quality ya picha kama zako
ReplyDelete