nyota wa enzi hizo maulid dilunga 'mexico' (shoto) ndiye aliyekuwa kamisaa mchezo wa jana wa taifa staaz na uganda. wa katikati ni mama wa kibongo ambaye ni mwamuzi wa kwanza mwanamama kupata beji ya fifa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Hawa FIFA vipi Refa wa kike ilitakiwa apewe sketi

    ReplyDelete
  2. NI HABARI NJEMA KUHUSU HUYO MAMA MWENYE BEJI YA FIFA.

    TAFADHALI MDAU AMBAYE ANAFAHAMI JINA LAKE KAMILI NAOMBA UNIFAHAMISHE MAAMA NILIKUWA SILIJUI JAMBO HILO.

    KILA LA KHERI MWANAMAMA NAAMINI WAKINA MAMA MKIPATA FURSA MNAWEZA KUFANYA MENGI MAZURI.

    PONGEZI TFF KUMPANGA HUYO MAMA KWENYE HUO MTANANGE.

    TAFADHALI TFF JITAHIDINI KUMPA MECHI NYINGI ILI TUONE MAMBO TAFAUTI SIO KILA MECHI MAREFA WALE WALE NENDA RUDI.

    ENE WEI TUTAFIKA TU.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...