

msanii wa kibongo aishie na kufanya kazi kwa watani wa jadi godfrey mwampembwa a.k.a gado ameshinda tuzo kubwa ya Prince Claus Fund ambayo inaenda sambamba na mkwanja mnono wa yuro 25,000. habari zaidi bofya hapa hongera sana gado.
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Congratulations keep the good work mkubwa
ReplyDeletesasa michu mimi nimeshindwa kupata habari zaidi ya jinsi huyo mzalendo alivyopata hicho kitita.
ReplyDeleteMaana nabofya hiyo link nakutana na viatu vya huyo GADO au ndio maelezo kwa picha?
Congrats Mwampembwa..you diserve the best our bro..long time tulisota kambi moja ruvu.
ReplyDeletekeep it up
emmy,UK
He has done an excellent job, on Nations Newspaper, and he is still do for the world peace and stability through Cartoons. His cartoons drawing have got the wip, funny and very much educating.
ReplyDeleteI have met him personally sometime in 1993-94, I cannot recall exact year, he is very smart guy, he is true ambassador for Tanzanians, Keep up the good work.
wadau mi naomba nifungue mjadala,nani zaidi kati ya Gado na Masudi wa Kipanya?
ReplyDeletehivi ndiye aliyewachora wahandishi Bongo wakilamba miguu ya Muungwana JK?
ReplyDeleteHongera sana Kaka katuni zako "zimekwenda shule" unastahili tuzo. Hongera
ReplyDeleteMichuzi nasikia Sea Cliff Hotel inaungua hivi sas. Umepata habari?
ReplyDeleteikumbukwe alitutukana watanzania huyu!katuni zake zilileta mabishano sana!sio mzalendo,ma-capitalist hawana undugu,wanaweza kutukana wazazi wao kwa ahadi ya pesa
ReplyDeleteHongera Gado
ReplyDelete