hayati godwin kaduma aliyecehza kama sekondo katika filamu ya 'harusi ya mariamu' aliyocheza na profesa amandina lihamba aliyecheza kama mariamu. mzee kaduma hatunaye tena. habari kamili baadaye

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Du! Mzee Kaduma alikuwa principal wetu pale chuo cha sanaa bagamoyo, Michuzi, nini kimetokea tena..huyu mzee ni miongoni mwa vichwa vya sanaa hapa tz,,,faculty of arts pale udsm wenyewe wanamtambua...rip zg kaduma

    ReplyDelete
  2. Hizi ni habari za kusikitisha sana! Pole sana kwa Familiya ya Marehemu pamoja na kwa wale wote tunaomjua. Mzee Kaduma alikuwa mwenye upeo mkubwa katika nyanja za za utamaduni - sanaa. Mbali ya kuwa kiongozi mwenye upeo pia alikuwa msanii na mbunifu mahili. Mimi binafsi kama wengine wengi nilikuwa na mahusiano naye ya moja kwa moja katika harakati. Poleni Sana! -Arnold Chiwalala, Finland

    ReplyDelete
  3. Pole sana Zilla KADUMA, Anna KADUMA, Geophry KADUMA na Prof J. Msangi MUNGU awape faraja yake

    ReplyDelete
  4. Kwa kweli Tanzania tumepata hasara kumpoteza Mzee Kaduma. Alikuwa anajua sana mambo ya usanii. Namshukuru Mungu kuwa nilivyokuwa Tanzania mwezi wa saba niliweza kushinda naye siku nzima huko kwake Bagamoyo na alinielezea mambo mengi na kunipa ushauri mzuri kuhusu mwelekeo wangu katika usanii.

    Mungu amlaze mahali pema mbinguni. AMEN.

    ReplyDelete
  5. Nimepokea kwa masikitiko msiba wa mzee wetu mzee GodwinKaduma.

    Tunawaombea wanafamilia,jamaa na marafiki Mungu watie nguvu katika kipindi hiki kigumu walicho nacho.

    Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu Mzee kaduma mahali pema peponi.amina

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...