Twapenda kukupongeza kwa kutimiza miaka 2 ya blog.kwa kweli blog inatutia hamasa sana tunapowaona wenzetu wa ukerewe na kwingineko. keep it up bro.Pichani ni wadau wa Jamana Printers-Dsm kutoka kushoto ni mdau Ahmed Viriyala,kulia ni mdau Cassius Pambamaji na katikati ni Ken Simiyu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...