
mkuu wa mkoa wa kagera kanali enos mfuru akizindua tovuti yenye jina http://www.kagerayetu.org kwa lengo la kuutangaza mkoa huo na kutoa fursa, mianya ya uwekezaji na biashara hata matatizo na maendeleo ya siku hadi siku
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Aargh kina Nshomire bwana washamba kwelri kweri. Sasa ndio nini kutumia .com wakati nyie ni wabongo bwana?? Tumieni .or.tz au .co.tz hii ndio brand ya Kitanzania.
ReplyDeleteNawapa hongera hata hivyo kwa kuamua kutoka kivyenu sio kusubiri serikali kwa kila kitu.
Michuzi,
ReplyDeleteAnuani ya tofuti ni http://www.kagerayetu.org na si kama ulivyoiandika.
Nawasilisha.
Na huyo aliyeweka ramani ya Kagera peke yake bila kuonesha location ya mkoa katika ramani ya Tanzania ana agenda gani ya siri?? Wanataka kujitenga nini hawa? Manaake pale jirani tayari kuna nchi mbili ambazo zina ukubwa kama wa Kagera isije ikawa wanataka kuwa ka-nchi ka tatu
ReplyDeleteWahaya bwana...ungambire stupid infront of my wife lakini kichwani zimo...
ReplyDeleteWell wanaenda na ulimwengu hawataki soko la kagera kwao kwa vile sio wengi wana internet wanatafuta solko la nje ya nchi
Huyo anayesema mbona hawajaweka ramani ya nchi why ....? kwanini waweke kama nchi inachangia kuweka hata senti kwenye hii site basi wataweka otheiwse keep it...hamna kusubiri watu.....wasiojivuta....
Hongera sana ndugu zangu.
ReplyDeleteInfwati nataka kutoa ka ushauri kidogo.Wanasema charity begins at home.Hivyo ingekuwa vema mngeweka na ka ukurasa ka kiswahili siku za usoni ili iwasaidie na wengine amabo hako ka lugha ka kikoloni hatukaelewi vema.
Pili nawashauri itakuwa vema pia mkijitahidi kuvitangaza vivutia vilivyoko wilaya ya Ngara na wilaya zingine.
Mfano kuna eneo linaitwa kabanga nasikia meneo ya RULENGE kuna machimbo ya madini.Ingekuwa vyema yote hayo yawekwe wazi ili kuvutia watu wengine kufanya biashara zinazoendana na madini.
Ni hayo tu.Kila la kheri Kagera wasalimieni wahaya,wanyambo,wahangaza,washubi.Ulakoze cyane;wakola
michuzi waambie waweke e-mail zao kwenye website. nasindwa kuwasiliana nao.
ReplyDeletewe michuzi hiyo ramani yao mbona haionyeshi wilaya mpya ya Missenyi,au tuseme hawaitambui?mheshimiwa kamala mbunge wa nkenge upo?mbona wanakudhalilisha wenye hii saiti kwa ku skip wilaya yako?
ReplyDeleteKutuacha kuonyesha wilaya ya Misenyi wametudhalilisha mbele ya Public.
ReplyDeletePublic sasa wanatuona sisi matapeli tunatoka District ya Misenyi kuwa matapeli sababu wanasema hatuko kwenye ramani.
Tunaenda mahakamani kuwashtaki watulipe damage kwa kutuvunjia heshima mbele ya our wives na infront and behind of the public.
Hivi mtu akiona hafai serikalini i.e kama aliburunda kama huyo ex.waziri hapo, ni vyema kumuhusisha tena na vitu vikubwa zaidi kama hivi?Kama alikula wizara kadude kama haka si atakameza mara 1?
ReplyDeleteRujwangana.
Sasa buni na senene zimepata soko, tutaagiza kwenye mtandao kwani ule wa simu walikuwa unireacherble.
ReplyDeleteZE COMEDY WAKIONA HIYO, AKAAA KWENYE EA TV ALHAMIS IJAYO. HAHAAAHAHAHAAA TEHEEE TEHEEE. NA JAMAA NDIYO MTANGAZAJI WA MAMBO YA BIASHARA. MBONA BALAAA HILI. TEHE TEHE TEHE TEHEEEEEE
ReplyDelete