Home
Unlabelled
kennedy
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
basi bwawa la maini wamewapiga reading imekuwa taabu uwe unavaa hata mkifungwa basi
ReplyDeleteHongera sana kaka michuzi kwa kutimiza miaka miwili kwenye blogu hii.Nashukuru sana kwa kutupatia habari za nyumbani kwa watu tulio nje ya nchi.Ni kitu ambacho kinahitaji moyo sana na bidii vile vile,ukiweka majukumu yako ya kazi,familia biashara zako na blogu inakuwa si jambo jepesi hata kidogo.wakati mwingine unakutana na matusi kashfa pamoja ma maneno ya hapa na pale,lakini haujakata tamaa bali kuendeleza libeneke.Frankly speaking blog yako imekuwa kama mswaki kwangu,maana nikiamka tu lazima nifungue blog yako na kuangalia habari za nyumbani.Sina mengi zaidi ya kukutakia maisha mema pamoja na baraka teleee kwenye shughuli zako za kujenga taifa.Thanks very much bro.keep the african fire burning......
ReplyDeleteregards,
mdau toka melbourne Australia.