Nakutakia Heri katika miaka hiyo Miwili ndugu michuzi na wadau wote

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. basi bwawa la maini wamewapiga reading imekuwa taabu uwe unavaa hata mkifungwa basi

    ReplyDelete
  2. Hongera sana kaka michuzi kwa kutimiza miaka miwili kwenye blogu hii.Nashukuru sana kwa kutupatia habari za nyumbani kwa watu tulio nje ya nchi.Ni kitu ambacho kinahitaji moyo sana na bidii vile vile,ukiweka majukumu yako ya kazi,familia biashara zako na blogu inakuwa si jambo jepesi hata kidogo.wakati mwingine unakutana na matusi kashfa pamoja ma maneno ya hapa na pale,lakini haujakata tamaa bali kuendeleza libeneke.Frankly speaking blog yako imekuwa kama mswaki kwangu,maana nikiamka tu lazima nifungue blog yako na kuangalia habari za nyumbani.Sina mengi zaidi ya kukutakia maisha mema pamoja na baraka teleee kwenye shughuli zako za kujenga taifa.Thanks very much bro.keep the african fire burning......

    regards,
    mdau toka melbourne Australia.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...