hoteli ya kempinski kilimanjaro usiku

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Na hiyo isije ikapata electrical fault na kuungua moto!

    ReplyDelete
  2. MENGI ALINYIMWA KUNUNUA HII HOTEL, SASA NI YA WAGENI, WABONGO MNAJISIKIA VIZURI KWELI? NGOJA WAZUNGU NA WAHINDI WACHUKUE ZOTE NA OFISI ZOTE MJINI NDIO MUANZE BLACK EMPOWERMENT!

    ReplyDelete
  3. Sidhani kama kuna mBongo anayejisikia vizuri baada ya kujua kuwa Mengi alinyimwa kununua Kilimanjaro Hotel!
    Watu kama Mengi wapewe nafasi ya kuwekeza pale wanapoweza nchini!Akiwa kama mzalendo anastahili kupewa nafasi ya kwanza bila mizengwe!

    ReplyDelete
  4. Naipenda sana Tananzania.

    Mimi sio mbaguzi.

    Lakini niliumia sana kuona Mzee R.Mengi ananyimwa kuchukua hiyo hotel na kupewa mgeni.Kwa hilo MKAPA na sera za CCM za kumsaidia mtanzania nilishindwa na ninashindwa kuwaelewa hadi.

    Maana kila nikitoka zangu Kigamboni nikiwa ndani ya pantoni mbovu,au nikiwa naelekea ferry naliona hilo likilimanjaro hotel.Haipendezi.


    Leo hii baba wa watu anajitolea kila mwaka awamu na awamu kupeleka watoto wakatibiwe matatizo ya moyo huko India kwa kushirikiana na Lions club.
    Sasa angekuwa na kitega uchumi kama hicho sio angepeleka wengi zaidi.


    Ene wei tutafika tu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...