Home
Unlabelled
kili
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Na hiyo isije ikapata electrical fault na kuungua moto!
ReplyDeleteMENGI ALINYIMWA KUNUNUA HII HOTEL, SASA NI YA WAGENI, WABONGO MNAJISIKIA VIZURI KWELI? NGOJA WAZUNGU NA WAHINDI WACHUKUE ZOTE NA OFISI ZOTE MJINI NDIO MUANZE BLACK EMPOWERMENT!
ReplyDeleteSidhani kama kuna mBongo anayejisikia vizuri baada ya kujua kuwa Mengi alinyimwa kununua Kilimanjaro Hotel!
ReplyDeleteWatu kama Mengi wapewe nafasi ya kuwekeza pale wanapoweza nchini!Akiwa kama mzalendo anastahili kupewa nafasi ya kwanza bila mizengwe!
Naipenda sana Tananzania.
ReplyDeleteMimi sio mbaguzi.
Lakini niliumia sana kuona Mzee R.Mengi ananyimwa kuchukua hiyo hotel na kupewa mgeni.Kwa hilo MKAPA na sera za CCM za kumsaidia mtanzania nilishindwa na ninashindwa kuwaelewa hadi.
Maana kila nikitoka zangu Kigamboni nikiwa ndani ya pantoni mbovu,au nikiwa naelekea ferry naliona hilo likilimanjaro hotel.Haipendezi.
Leo hii baba wa watu anajitolea kila mwaka awamu na awamu kupeleka watoto wakatibiwe matatizo ya moyo huko India kwa kushirikiana na Lions club.
Sasa angekuwa na kitega uchumi kama hicho sio angepeleka wengi zaidi.
Ene wei tutafika tu.