mdau agata katuletea mandhari nzuri hii ya same, kisiwani

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. mh how beautiful home is. wow asante sana dada umenikumbusha mama alipotokea. wonderful

    ReplyDelete
  2. he! same kuna kisiwa?

    ReplyDelete
  3. Wanahitaji msaada wa uhifadhi wa mazingira kwa kupanda miti, angalia jinsi milima ilivyo kipara

    ReplyDelete
  4. Asante kwa picha hii!Siku nyingi sijapita Kisiwani.

    ReplyDelete
  5. AISEE KAKA MICHU HAPA NAKUFAGILIA, HAPA WENYEWE TUNAPAITA "KITWANI" NA HUO MTI UNAOUONA HAPO UNAITWA "MRAMBA" NA MATUNDA YAKE YANAITWA "MARAMBA",KWA MBALI HAKO KAMLIMA TUNAKAITA "KAMUGONGO".WANKUMBUSHA KAYA AVAE MICHUDHI,HAVOME.
    CHIADHI!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...