kinara wa mashindano ya miss tz hashim lundenga a.k.a anko hashim leo amevunja ukimya na kuongelea mambo ya ulimbwende kupitia www.bongocelebrity.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Aisee lundenga amewiza kwa pesa za wasichana

    ReplyDelete
  2. Lundenga Kambunga tu.Hana lolote wala hana jipya.Hazafali kidogooo angemwachia huyo huyo meneja masoko wa Voda Mr.Mafuru.Huyo jamaa Mafuru ni kichwa tangu akiwa Mlimani.Ni mutoto wa mujini.Nani anakumbuka harusi yake tuliifanya sisi wadau wakati tukiwa chuoni??Weee palikua hapotoshi na ikawa bonge la harusi.Huyo jamaa ni kinywa na anajua mambo.Lundenga kukurupuka na misifa tu na ubabe tuu.
    Miss miss miss yakwangu yakwangu.Alie basi.
    Majita

    ReplyDelete
  3. Lundenga na kundi lako la Miss TZ kubalini kama safari hii mmewatumikia wahindi bwana acheni uzushi, tuna data za Richa toka mumpeleke Miss Ocean ni bora ukakaa kimya Bro hatukatai huyo binti kuwa miss ila kumwakiliha Mtanzania wa kweli

    ReplyDelete
  4. Kaka Hashim, nimesoma mahojiano yako na BC nadhani yanaridhisha sana tu.
    Isipokuwa kitu kimoja nilichogundua ni kwamba, si watanzania wote ni wadau wa fani ya urembo, kwahiyo ni vigumu kwa hao wasio wadau kuelewa nini hasa kinaongoza mashindano ya Miss Tanzania na Miss World. Wengi wa wachangiaji wanajaribu kutoa hisia zao binafsi (japo haikatazwi) lakini wanakosa hoja za kimsingi sana.
    Ninashauri ikiwezekana kamati ya Miss tanzania itoe elimu kwa umma ili wale wasiofahamu haya mambo wapate kujifunza.
    Nakupongeza wewe binafsi Bw. Hashimu Lundenga na washirika wenzako kwa kuyafufua na kuyaendeleza hadi leo maka wa 14 mashindano ya Miss Tanzania, hongereni sana.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...