mdau mihayo katuletea picha za hoteli ya sea cliff inavyoonekana leo ikiwa ni siku kadhaa baada ya kuungua




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. hee hotel ndo imeungua hivi Michu,,mbona walisema imeungua kiasi tu na wato wote wakahamishwa kwenda hotel ingine,,,..........mmh hapo kweli hakukuwa na majeruhi kabisa, maajabu!! anyway, tunashukuru wote kama walitoka salama, ila damage kubwa sana hiyo, si mchezo.

    ReplyDelete
  2. bwana Michu...hayo ni mambo ya INSURANCE.... wasitutishe.

    ReplyDelete
  3. ANON; USISHANGAE SANA KUONA HAKUNA MTU ALIYEKUFA AU KUJERUHIWA HUMO. WABONGO WATAKIMBIA MVUA, MOTO, TRENI NA MAFURIKO NA WATAPONA HUTAAMINI MACHO NA MASIKIO YAKO.
    WABONGO HUFA AU HUJERUHIWA KWA KUGONGWA NA MAGARI, BAISKELI AU PIKIPIKI.

    ReplyDelete
  4. Dah!!! ajira za watu hapo si zimeota mbawa kwa sasa.

    ReplyDelete
  5. Asavali naona MINAZI haijaungua apo na wanja lile la UKOKA naona bado la kijani kibichi.....i see!!

    ReplyDelete
  6. Poa sana kama sea cliff imeungua kwani mimi nilishawahi kuwa mfanyakazi miaka ya 1998, mimi pamoja na wenzangu tuliachishwa kazi katika mazingira ya kutatanisha, naona mungu kamuua kulipa hapahapa duniani, Bw KETAN ujue hayo ni manung'uniko ya watu uliowatendea visivyo halali. INSHALLA MUNGU ATAZIDI KUKULAANI.Pole sana Subbash patel.

    ReplyDelete
  7. Hiyo bongo bwana,take it easy,mambo ya insurance hayo!!! kudadadeki!!!

    ReplyDelete
  8. IWE BOJO!!!
    HAYO MAMBO YA BIMA TU.WATU WACHUNGULIA WAKAONA HASARA SASA PESA ZA WALIPA KODI ZINAYOYOMA KAMA KAWAIDA.BABU NA BIBI ZANGU KULE VIJIJINI WAKIKAMATWA NA KUFUNGWA MASHATIM ILI WALIPE KODI ILA JAMAA KAMA AKINA PATEL,PRADESH,MAHINDRA WANAKULA KODI ZETU KIULAINIIIII.DUNIA HII BWANA.NISISEME MENGI WASIJE NI BUZWAGI BURE.PRINCE NASEEM

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...