Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Na hili nalo,hebu akavae nguo.Binti mzuri lakini vaa yake trash.We men don't like that shit

    ReplyDelete
  2. Michuzi sina koment huyo bintina hilo tangazo lakini naomba uwataarifu wanablog wako juu ya kupanda kwa Tsh yetu wiki hii kwani leo hapa mtaa wa samora maduka mengi ya kubadilishia fedha ni $1 kwa Tsh.1255 tofauti na wiki 2 zilizopita ilipokua $1 kwa Tsh.1280.Sijui nini kimetokea labda wataalam wa mambo ya uchumi watuaeleze.

    ReplyDelete
  3. we anon wa sept 19,10:38:00 kwani hujui? tangu dili ya wizi wa mapesa benki kuu ilipobalanguka baada ya Slaa kuitaja bungeni shilingi ya Tanzania haijawahi kuanguka tena. kusema kweli kama ule wizi usingefanyika shilingi yetu leo hii ingekuwa around 700 to the dollar maana siku zote shilingi zetu kumi zimekuwa sawa na shilingi moja ya kenya na leo shilingi 70 za kenya ni USD moja.tumshukuru Slaa na mola amjalie.amin.

    ReplyDelete
  4. dj viagra ndo nini sasa?mtu mzima hovyooooo!

    ReplyDelete
  5. Jamma huyu anayelalamika kwa kusema huyu binti akavae nguo,hakulazimishwa kufngua hii blog, na pili hilo ni vazi la summer so keep it shut bro.
    Na mimi naona hela yetu inatuabisha sana..duh maana iko chini sana..

    ReplyDelete
  6. Haya majina mengine!! DJ VIAGRA

    Mtu na akili zako unajiita DJ VIAGRA?

    ReplyDelete
  7. kaka misupu au chuzi la bwawa la maini mabovu.sasa nilikuwa najaribu kukupa ushahuru badala ya kutupa haya matangazo hebu tuwekee picha za vitu muhimu kama junction za barabara na round about hten tujaribu kulinganisha na za wenzetu walioendelea then tujiulize tunashindwa nini kufanya kama wenzetu,au ulikuwa nasona vipi??poleni na matokeo ya jana na wenzenu toka russia pia taabani na vitimu feak

    ReplyDelete
  8. Kwa mdau wa comment no 1, mimi nadhani si vizuri u-usemee moyo, some men go mad when the see the same "shit" that you discredit, jiongelee mwenyewe.

    ReplyDelete
  9. nakuunga mkono mdau anon wa sept 19 at 5:27,kwa kweli mtoto ana mvuto wa kipekee,asiyetaka kumwangalia ahame blogu.

    ReplyDelete
  10. HUYU BINGWA ANAIMAIND VIAGRA..WEWE SIO MCHEZO JARIBU UONE MAMBO YAKE.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...