Pongezi kwa kutimiza miaka miwili endelea kukaza buti, umekuwa chanzo kizuri sana cha info za nyumbani!! Pia inanipa raha ungianzisha mwezi mmoja tu kabla tungekuwa umri sawa, Kwa sasa mimi mzee kwa mwezi mmoja! tehetehe!! Ni mimi mdau Madiba Oldenburg, Germany jirani na Ras Makunja hapa!
Cheers!!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. kaka michu huyo mtoto mzuri jamani kimependeza humu wape pongezi wazazi wake jamani utafikiri mdogo wangu mahmoud yaani blog nzima imependeza sana kwa ajili ya haka katoto cah watu Mungu akikuze salama ameen

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...