
spika wa bunge la jamhuri mh. samwel sitta akielezea ajali iliyomkuta waziri wa ulinzi na jkt mh. profesa juma kapuya mara baada ya majeruhi kuwasili jioni hii kwenye uwanja wa ndege wa jeshi airwing.
amesema tairi la mbele la gari la mh. kapuya lilipasuka na gari likabiringika mara tatu na kusababisha kifo cha mtu mmoja na kujeruhi abirtia wengine wanne akiwemo mh. waziri ambaye alisema amepata jeraha kifuani na kwenye paji la uso ambalo liligota kwenye kioo na vipande vyake kubakia kichwani, kilichomsaidi mh. waziri, alisema, ni kuwa alikuwa amefunga mkanda
Mwenyezi Mungu aipumzishe roho ya mh.Diwani mahali pema peponi.Amina.
ReplyDeletePia tunawaombea majeruhi wengine pamoja na mh.Kapuya waweze kupona haraka na kurejea katika ujenzi wa taifa.
Ameni
Aaah! Ajali hizi mbona zimekuwa nyingi sana mwaka huu? Mungu ampumzishe marehemu na wajaalie majeruhi wapone haraka.
ReplyDelete