mtangazaji wa bbc aliyeko bongo abdallah majura akimhoji mwenyekiti wa yanga imani madega kuhusu ligi kuu inayoanza kesho ambapo timu yake itakipiga na watoto wa jiji ashanti huko morogoro. shoto ni maulidi baraka wa kitenga na kati ni isaac muyenjwa gamba wote ni wa redio wani

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Hamna lolote mdembwedo tu.Wamepigwa bao na wauza mitumba Ashanti watoto wa mjini.Mpira hauchezwi kwa mdomo.Wakifungwa tena bakora zitatembea jangwani.Kusajili tu hakusaidii waulize Chelsea.Inatakiwa na wachezaji wafit kwenye mfumo mnaocheza.

    ReplyDelete
  2. Wacha wafungwe tambo zilianza hata kabla ya mechi.Baada ya mechi watu wametoka kichwa chini.Mpira hauchezwi kwa majina na domo kaya.Hujavuka mto unatukana mamba.Umebonyezwa kizenj.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...