mke wa mh. profesa athumani kapuya akiwa na mh. waziri dk. batilda buriani (shoto) na watoto wa mh. kapuya wakisubiri ndege iwasili airwing jioni hii

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Doh..poleni sana, Othman pole sana homie, he will be fine,
    B/ham

    ReplyDelete
  2. mama na ndugu zangu othuman hapo poleni sana inshallah ataukuwa salama
    katimpu

    ReplyDelete
  3. Pole sana mama kapuya, anchu, baraka, kulwa na doto...mzee augue pole..

    ReplyDelete
  4. Pole baba , mungu akujalie upone,,pole kwa Mama Achu, Zawadi,Baraka na second generation yote ya mzee Kapuya.Mi naomba mkipona bwana dereva kibarua chake kisiote majani jamani, sio kosa lake, ajali haina kinga.Maana naona viongozi wamejaa uwanjani kumpokea mzee wetu, na sura zimejikunja, nina wasiwasi na kibarua cha bwana dereva....

    ReplyDelete
  5. Baraka whats up, mbona umekuwa bouncer hivyo? vipi tena? anywayz, hayanihusu

    ReplyDelete
  6. ebwana, mzee augue pole, ila mimi hii picha imenifurahisha kitu kimoja, kuna mkaka hapo nyuma ya huyo bouncer( Baraka Kapuya), mkaka kavaa miwani na shati ya bluu,,Michu ukinisaidia kupata contacts zake nitafurahia saana,,anaitwa Cosmas, tumezowea kumuita Cosi, loong time,,miaka karibu 10 sasa hatujawasiliana, huyo tangu mzee Kapuya anafundisha chuokikuu alikuwa mshkaji wetu,, ndo nashangaa hadi leo hii bado mzee anampa kazi, du, kwa hilo mungu akubariki mzee Kapuya, kaka ametoka mbali sana huyu,,Michuzi unaweza nisaidia mawasiliano na huyo kaka? kama vipi, ntakuandikia email binafsi nikuombe vizuri hizo contacts zake.

    ReplyDelete
  7. Mimi NaSHINDWA KABISA KUELEWA HUKO TANZANIA KUNA NINI. KWANINI KILA SIKU AJALI AU NI BARABARA MBOVU MAANA MARA AJALI MBEYE MARA MTWARA MARA LINDI MARA KILIMANJARO.
    SASA MIMI SIJUI KWANINI
    JOSH MICHAEL '
    MAREKANI

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...