Home
Unlabelled
mama kapuya
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Doh..poleni sana, Othman pole sana homie, he will be fine,
ReplyDeleteB/ham
mama na ndugu zangu othuman hapo poleni sana inshallah ataukuwa salama
ReplyDeletekatimpu
Pole sana mama kapuya, anchu, baraka, kulwa na doto...mzee augue pole..
ReplyDeletePole baba , mungu akujalie upone,,pole kwa Mama Achu, Zawadi,Baraka na second generation yote ya mzee Kapuya.Mi naomba mkipona bwana dereva kibarua chake kisiote majani jamani, sio kosa lake, ajali haina kinga.Maana naona viongozi wamejaa uwanjani kumpokea mzee wetu, na sura zimejikunja, nina wasiwasi na kibarua cha bwana dereva....
ReplyDeleteBaraka whats up, mbona umekuwa bouncer hivyo? vipi tena? anywayz, hayanihusu
ReplyDeleteebwana, mzee augue pole, ila mimi hii picha imenifurahisha kitu kimoja, kuna mkaka hapo nyuma ya huyo bouncer( Baraka Kapuya), mkaka kavaa miwani na shati ya bluu,,Michu ukinisaidia kupata contacts zake nitafurahia saana,,anaitwa Cosmas, tumezowea kumuita Cosi, loong time,,miaka karibu 10 sasa hatujawasiliana, huyo tangu mzee Kapuya anafundisha chuokikuu alikuwa mshkaji wetu,, ndo nashangaa hadi leo hii bado mzee anampa kazi, du, kwa hilo mungu akubariki mzee Kapuya, kaka ametoka mbali sana huyu,,Michuzi unaweza nisaidia mawasiliano na huyo kaka? kama vipi, ntakuandikia email binafsi nikuombe vizuri hizo contacts zake.
ReplyDeleteMimi NaSHINDWA KABISA KUELEWA HUKO TANZANIA KUNA NINI. KWANINI KILA SIKU AJALI AU NI BARABARA MBOVU MAANA MARA AJALI MBEYE MARA MTWARA MARA LINDI MARA KILIMANJARO.
ReplyDeleteSASA MIMI SIJUI KWANINI
JOSH MICHAEL '
MAREKANI