Home
Unlabelled
mama richa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
HII kazi kweli kweli inamaanisha nini sherehe ya hindu mbona Nancy sumari haikufanyika sherehe ya wameru kumpongeza mimi sio racesist ila sasa mnataka niwe huu ni upumbavu sasa wanani bore ile mbaya ubaguzi huu si wangechinganya na waafrika hebu kwendeni zenu
ReplyDeletejamani twende mbele turudi nyuma,haka katoto ni kazuri jamani,au mnasemaje wadau?
ReplyDeleteWe ndiyo unachanganya watu! Leo hii ndiyo unaona umuhimu wa kuwachanganya wahindi na waafrika? Mbona walipomchanganya Richa na kuchukua ushindi wewe ukachanganyikiwa na kuponda? Leo hii ndiyo unaona umuhimu wa umoja? Acha ubaguzi ndugu yangu, karoho hako katakubakiza nyuma katika ulimwengu huu wa maendeleo ya kasi.
ReplyDeleteJamani tulishasema sana, na tunarudia tena. Miss Patel hatujamkubali kutuwakilisha kitaifa because hana asili ya makabila ya kiTanzania!! In short, she is not a Tanzanian by nature. Asili yake ni India! Mtuonyeshe mkoa gani wanatoka hao Wahindu na Waghoa?
ReplyDeleteole wenu wakristo mnaomponda huyu binti,kwa taarifa yenu richa ni mkatoliki pyua.
ReplyDeleteHaya ndo yaleyale!!Angalia ktk sherehe zao hii ikiwa ni mojawapo akialikwa mBongo halisi basi ni yule wanayejua watamtumia kwa faida zao, vinginevyo hakuna mzalendo yeyote anakaribishwa!!
ReplyDeleteHalafu tunaambiwa sisi wazalendo tunamuonea wivu Richa na kuwa ni wabaguzi?!Mhh..!
Wafanye wao kumchagua'Miss' tuone kama kuna mzalendo atakayepewa taji?
Hakuna anayebisha kuwa Richa ni mzuri,tatizo ni kuwa hafai kutuwakilisha wazalendo.Atakapokwenda nje anaonekana ni mdosi.Kama alivyohoji mwenzetu hapo juu,kabila hilo linatoka wapi Tanzania??!
Mpeni mchumba wa kizalendo basi, mfano msambaa,mnyakyusa,mmasaai au mluguru nk tuone kama yeye au wanajumuia yake watamkubali?
sisi watanzania wajimga wamwisho duniani...hivi ni lini tutaamka? hatuwezi kuupromote utaifa wetu wala kuutangaza. Public titles such as "miss Tanzania", "president of Tanzania" "flag ya taifa"etc, are there for meaning, to represent and reflect the people of that country. Mimi ni mbongo nipo India kusoma, there is no way in million years i will get chance to represent Indian...No way, may be Gandhi arudi. they are selfish who keep their norms and culture. How come we are such a "world class" joker for disowned our true identity and trade our norms to embrace foreigners. Furthermore , the national flag colours has true meaning, black-us, yellow-resouses, blue-water, green-rich land, the fact is very obvious there is no Indian or white...this is our nation and we should cherishe that and not embrace other country's identity. Wadau im not recist, if you come from India, england, america...you are all welcomed! if you get our citizenship, its okay, we are wonderful people and welcome aboard, However when it comes to represent our country in sensitivy matters such as our culture,national identity, norms and African values, leave it to us.
ReplyDeleteWadau , nafasi kama miss tanzania ni nafasi ya kuitangaza nchi kwa wasioijua na kuvutia wawekezaji, ni lazima tuwe makini na tuache umbumbu mzungu wa reli, huyo ni mhindi na akagombee india, sisi watanzania weusi hatuna uwezo wa kugombea umiss india, hata uwe uzaliwa ndani ya New delhi outskirts...no way! Tuache ufala jamani, hako katoto ni kazuri lakini sio sahihi kutuwakilisha katika zama hizi tunazohitajika kukimbia badala ya kutembea, nataka "indigenous tanzania" ndio wapewe nafasi hizo, sio mnaleta usenge wenu huko bongo. Yaaani nina hasira sana, jinsi ninavyonyanyasika hapa india, ingawa nipo miaka zaidi ya kumi.
DK
Jamani katoto ka watu ni Kabongo, wewe angalia mkono wake wa kulia una alama ya NDUI hii ni justifiable evidance that she is naturaly mtanzania.Najua Richa unasoma hii Blog; therfore, i would suggest that it is to the best of your interest to arange something were you will have a chance to squeeze in a "talk of your fame"...(how you get there). Iam quite certain that it will work as it did for John Kerry under democratic party in 2000.By the way kama you could go to a event that could trigger some "talks" like this why not consult your PR (public relations) manager wako to get his/her opinion on this suggesting??...TRY IT you will tell me.
ReplyDeleteHata wewe mpiga debe hakukualika! Duh! ama kweli duniani kuna mambo! Debe lote ulilopiga mpaka kumpeleka ofisi za Daily News lakini umetoka patupu!
ReplyDeleteUSHAURI WA BURE:
ReplyDeleteKufuatia kile ambacho kimekuwa kikiandikwa kuhusu ushindi au kutokubali ushindi wa huyu binti nadhani hata Richa mwenyewe awe na busara na kuwasiliana na wewe na waandishi wengine ili mambo mengine kama haya ambayo ni personal (yasiyo ya Kitaifa au yanayomlenga yeye na kundi dogo la Watanzania wenye asili ya Kiasia pekee)kutoyaweka ktk Public maana hakipunguki kitu wala hayamwongezei zuri lolote bali kinyumeche yaweza kuibua mjadala, matusi na lugha sizizo faa tena kitu ambacho hakifai. Tena afadhali na wewe Michuzi hukuandika kichwa cha habari kibaya, ile link uliyotuwekea ya Mlimani na RTD eti kulikuwa na kichwa kisemacho 'Richa apongezwa na watu wake' na hapa utaona kabisa kuwa heading za hivyo ni za kichokozi maana tukiona picha na wakawepo tu Watanzania Wahindi basi baadhi ya watu wanarudi kuconclude kuwa kumbe ni kweli watu wake si Watanzania wote bali watanzania Wahindi au wahindi tu!
Mimi nachukia sana ubaguzi na wala hapa simaanishi kumnyima haki yeyote huyu mbinti bali nasema kwa herufi kubwa kuwa BUSARA INATUELEKEZA SIKU ZOTE KATIKA KUKWEPA MITAFARUKU ISIYO YA LAZIMA. Ndio maana hata Serebritiz kibao kwa makusudi wakati fulani inapobidi hukwepa Media si kwamba wanajidhulumu haki zao ya kusikika au kuonwa na walimwengu la, hasha; ni kwamba wanapogundua kuwa kuonekana kwao au kusikika kwao wakisema jambo fulani kwenye media kunaweza kuwa na madhara basi huacha au husema siko tayari kusema chochote kwa sasa n.k.
Bado unaweza kupost picha zake akiwashukuru Watazania wote au akitembelea kituo cha watoto wasiosikia (viziwi) Buguruni au akipanda miti mnazi mmoja n.k. n.k
Sisi tusiopenda ubaguzi uchwara tumemkubali na tutampa sapoti yote. Kwa rejea zaidi kumbukeni hata madhara ya mapaparazi katika maisha ya Binti wa kifalme Diana- kipenzi cha wengi duniani!
Nyakarungu wa Coast
Ni lini tutachana na fikra finyu kama ya huyo anon wa hapo juu anayeandika, "Wadau , nafasi kama miss tanzania ni nafasi ya kuitangaza nchi kwa wasioijua na kuvutia wawekezaji....?"
ReplyDeleteKumbuka, kuitanganza nchi sio lazima itangazwe na wazawa! Kipindupindu kinaweza kuitangaza nchi "kwa wasioijua" bora zaidi ya uzawa!
Pengine, kwa kuwa Richa eti ni Mhindi, Tanzania imejulikana zaidi huko India kuliko utangazaji uliowahi kufanywa na Balozi wetu wa India kwa mwaka huu!
Controversy ya huyo Richa ni tangazo tayari kwa Tanzania yetu!
Richa keshaitangaza Tanzania kuliko huyo Anon hapo juu!
Kutangaza nchi ni "both negative and positive"!
AMKENI!!!!!!!!!!!!!!!11111
We Anony wa 1.37Am wacha hizo wewe!!! Kaitangaza Tanzania kwa lipi!? Na Tanzania itanufaika vipi na hayo matangazo yake!? Hivi unafikiri Mwafrika anaweza kushinda Umiss India huko India? Acha unafiki
ReplyDeleteNobody gives a damn if she is a catholic or pagan. She is not somebody that should represent people she doesn't look like them. Open your minds people. Religion is not for africans, it is a way for africans to get caught up and be blinded into becoming somebody they are not. Helucinating and shit!
ReplyDeleteRicha mrembo poa tu, kuiga ubaya siyo ujanja, kama Wahindi wanakubagua mshikaji ni upuuzi wako, mimi nilisoma India na nilikuwa nawatwanga magumi sawa sawa mpaka wakaniita mdogo wake Tyson. Unyonge wako utakuumiza, rusha ngumi fala wewe! Sikilizeni washikaji, kutangaza taifa siyo lazima tutumie Wamatumbi, hata videmu kama Richa poa tu, watu watauliza kwani Tanzania kuna Wahindi, halafu maelezo yatakayofuatia yatatubeba ile mbaya. Kwanza huyu mtoto bomba kichizi, mimi nilisema siku moja ingekuwa sijaoa huyu huyu ningeng'ang'ania, nina hakika hakuna Mhindi angenizi kwa kupepeta domo. Iko mifano mingi ya mataifa ambayo yalitumia watu wengine kujitangaza. Je, unakumbuka kwenye Kombe le Ulaya mwaka 1996 Ufaransa ilikuwaje? Unajua kwamba Denmark na Marekani zinabeba medali za riadha kwa kutumia Wakenya? Unajua kwamba Zidane ni Muarabu? Unajua kwamba mabondia wote maarufu wa Marekani ni Wamatumbi wa Afrika Magharibi waliohamia huko baada ya Wahindi kuja Tanzania? Kasome historia. Unafikiri Michael Jackson, akina Forest W., weka wote hao, kwani ni Wazungu au Wahindi wekundu - Marekani inajidai nao na sisi tunawazimia. Mbona Afrika Kusini ilikuwa na VP Mzungu wakati Mandela akiwa Rais? Mbona Mfalme wa Jordan nusu ni Mzungu? India kwenye Muitaliano ndiye anayeongoza chama maarufu kuliko vyote chenye Waziri Mkuu, na Tanzania Muirani anaongoza fedha za CCM? Nyoooooo!
ReplyDeleteLike one anony who had, sometimes back, also put a request like this one.
ReplyDeleteI would also like to have and INDIAN GIRLFRIEND,
but it is very difficult to get them.
Richa, I believe you visit and read this blog. Can you please assist me to get an Indian Girl friend for a “serious relationship?”
I am a black Tanzanian.
You can use the e-mail address ZeMdau@gmail.com to give me the “hints”.
Or if you have your friend who will be ready to accept me, its ok.
I will give you/her my details, including a photo, after we communicate.
Please Dear. I am serious!
Hivi Richa akishinda na kuwa Ms World Afrika au awe Ms World au runners up, wabongo tutasemaje?
ReplyDeleteRicha mTanzania nyie naysayers - get on with it!!
We anony wa 10:36 Richa akishinda miss world Afrika nitalia machozi ya damu because she is not an African!!!! The title should go to those who it belongs to, a PURE AFRICAN not an INDIA!!!
ReplyDeleteWabongo bwana utadhani wamerithi majungu, nashangaa suala la huyu Miss Tanzania wamelivalia njuga, mara ooh sio mtanzania maeneo mengine nyeti hawayaoni! Nendeni Bungeni Dodoma mkawaone hao mama zake miss Tanzania na baba zake walivyojazana huko, wengine ni mawaziri wa Wizara nyeti. Kama bungeni hutaelewa somo nenda kaangalie timu ya Taifa ya Kriketi ya Tanzania kama utamkuta mwakasege humo. What am trying to say utanzania sio rangi, kama mtu anasifa na uzalendo wa kuwa Mtz let him/her enjoy the fruits of our fathers!
ReplyDeleteRICHA, KWANINI ULIKUBALI KUHUDHURIA SHEREHE HII YA KIBAGUZI? WEWE NI MTANZANIA AU MHINDU?
ReplyDeleteAnony 12:28:00 anauliza "RICHA, KWANINI ULIKUBALI KUHUDHURIA SHEREHE HII YA KIBAGUZI? WEWE NI MTANZANIA AU MHINDU?"
ReplyDeleteNa mimi ntamsaidia Richa kwa kujibu kwamba ndio yeye ni Mtanzania (uraia wake) na mhindu (dini yake). Ni kama vile Ashura ni Mtanzania na Muislamu, au Mary ni Mtanzania na Mkristo. Get it!?
Anony 11:46:00 anai kwamba "Richa akishinda miss world Afrika nitalia machozi ya damu because she is not an African!!!! The title should go to those who it belongs to, a PURE AFRICAN not an INDIA!!!"
ReplyDeleteBasi namwambia alikoswa koswa kupata upungufu wa damu kutokana na kutokwa machozi, kwani mwaka 2005 Nancy Sumari aliposhinda Miss World Africa, alipata upinzani mkali sana kutoka mlimbwede alieishia kushika nafasi ya pili katika Africa, Dhiveja Sundrum (South Africa). Jina hilo nadhani unaweza kuhisi asili yake ni wapi.
Mamake Richa nae uongo! Si haba Mwanawane!
ReplyDeleteHebu dabokliki hiyo picha aliyokaa, upate
close up yake, halafu cheki hayo MAHIPS!
Mwanawane!
Halafu huu us#/@ge wa kufananisha eti mbona S.Afrika inawakilishwa na wazungu au USA na blacks unanikera mimi!go back to history books,.wahindi na Tanzania,jamani?kweli?hapana bwana.Tujivunie utaifa wetu,tunaelekea pabaya sasa.Kina Lundenga bado mna nafasi ya kujirekebisha,hamjachelewa bado.Au mwaka huu mjitoe Miss world?mmh!lakini Patel si ndio m.kiti wa kamati yenu.dah!dharau kubwa hii.
ReplyDeleteHa ha ha ..!uTanzania si rangi?Na huko India je watasema hayo hayo mtu akishauri wewe mzalendo uugombee uMiss ndani ya India hata kama umezaliwa huko ukiwa na asili ya kizalendo?
ReplyDeleteNinamuunga mkono anonymous hapo juu anayeishi India kwa miaka mingi sasa.Maana yote aliyoyaseme ni sawa.Bendera yetu inasema yote!!
i support anon wa 12:28 a million percent...ila i crush kuna mmoja kajiita kunguru wa coast au kitu kama hicho...they say one picture is worth a thousand words...hata tusingeandikiwa kitu, the snap tells it all...YUKO NA WATU WAKE..kama unabisha kachumbie kamoja pale...
ReplyDeletemswano nyakarungu(sept 16. 11:43)! Ushauri wako umeenda shule sio kama huyu sijui ka-msenge au kitu kama hicho (wa sept 17: 7:50)anatuchafulia nafasi hapa kwa kutupakulia pumba zilizosazwa baada ya kupembuliwa mara kadhaa.
ReplyDeleteYaani watu kama hao ndio wako tayari kuoa au kuolewa na yeyote (hata pasipo na upendo)ilimradi tu eti ni mhindi au mzungu ujinga wa matawi ya juu kabisa huu! Eti mtu mzima na shule yake anajaribu kutushawishi tupime uraia wa mtu kwa kufuata kigezo cha kukubaliwa posa au kutokubaliwa mahala fulani????? loh ahsttaghafullah! oh pharisaioi krinei nomous!Mbona wengi wangeshafutwa uraia kwa style hiyo? Mbona hata miss mwenyewe ni point 5? wacha kutumia vidole kufikiri hapa!
Mushi2007
KUMBUKENI WAKATI WA KUMPIGIA KURA HUYU DADA WAHINDI WATAMLIPA (HACKER) MMOJA HALAFU MTAONA KURA KIBAO ZINAMIMINIKA KWENYE INTERNET. WAFANYABIASHARA NA VIONGOZI WOTE WA TANZANIA MNAWAJUA WAHINDI WANAVYOTUZUNGUKA HAPO BONGO.WEWE NENDA T.R.A AU KARIAKOO UONE BIDHAA FEKI." WANAINCHI WA UGANDA WAMECHOSHWA "
ReplyDelete