jumuiya ya wahindu ya lohana mahajan mchana huu imefanya hafla ya matembezi ya hisani na pia kumpongeza richa adhia kuwa miss tanzania mwaka 2007. baba yake richa ni wa kutoka jumuiya hiyo wakati mama ni mgoa. jumuiya hiyo imesema imefurahi sana kwa heshima aambayo richa ameitoa kwao na kwamba watampa kila aina ya msaada ili afanikiwe katika mashindano ya dunia.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 25 mpaka sasa

  1. Duuuh,si mchezo,naona sasa kaka Michu umeamua kuwachemsha waosha vinywa panapotakiwa yaani chini ya kidevu ili kinywa kioshwe.haya subiri maneno yako hapo chini.Sasa hivi Mudhihir wanamsahau.....

    ReplyDelete
  2. Mh...!? Kazi kweli kweli.

    ReplyDelete
  3. mh...!mdosi ni mdosi tu.mcheza kwao hutunzwa lakini sisi wabongo tunawatunza wageni kaziipo michuzi!!!

    ReplyDelete
  4. doo!michuzi ni bombay hapo au?nitoeni ushamba jamani.

    ReplyDelete
  5. Kama kawaida, katika shughuli za wadosi humuoni mswahili...hii kweli ndo true colours...

    ReplyDelete
  6. michuuuuuuuuuuuuzi hatari hiyo!!hapo ni bongo!!!!maana simuoni matumbi hata moja!!!au ilikuwa mwiko kuingia hapo,tujulishe michuzi,,.
    by SEOUL,..

    ReplyDelete
  7. acheni za kuleta,michuzi kishawambia hapa ni lidaz,sasa haya ya kusema ni bombay yametoka wapi?au ndo mnataka kusema nini?

    ReplyDelete
  8. Wabaniani wanampongeza binti wao kwa kuwapa heshima ya kuwafundisha wabongo kuwa maponjoro ni wazuri kuliko watu weusi. Keep it up! Ghoa, Parota, Hindu and Bangladesh made in Tanzania!!!

    ReplyDelete
  9. umependeza mtoto na hakika unastahili kuwa miss TZ,mwenye wivu ajinyonge kama alivyojisemea saida karoli.

    ReplyDelete
  10. kwa wale mlokuwa mkipinga kwamba huyu sio mhindi sasa ushahidi upo wazi! huhitaji kuwa na digrii ya havard au oxford ili uweze kugundua hilo. kwa waosha vinywa endeleeni kuosha tu!

    ReplyDelete
  11. Bro Michu!
    tunaweza kumsuport richa kama richa lkn michongo ya wadosi tunavyoijua tunajizalilisha, hapo wanatucheka kwamba sie tumeshindwa tafsiri neno "UZAWA"....ushauri wa bure kwa Michuzi ni kutotoa habari za huyu bibie,,,inaboooooooooa...sie tunampa shavu lkn wadosi wenzie wanatung'ong'a kudadadek

    ReplyDelete
  12. we igongo kwani kuwa mhindi ndo nini?do you become less of a Tanzanian?watu wengine mnakera kwa ubaguzi wenu!na mkiendelea na huo upuuzi wenu nitabuzwagi mimi.

    ReplyDelete
  13. wahindu na wagoa kule kwao India ni vitu viwili tofauti. I can imagine familia yao imepita katika mapito magumu ya kutengwa kwa sababu wagoa wanadharauliwa kwao na sasa wamekuja kwetu ananangwa na umiss Tanindia.Duh! mbona anajiju

    ReplyDelete
  14. michu sasa unatuboa,kila siku richa ,richa richa, hebu usituharibie swaumu zetu, PLS

    ReplyDelete
  15. Hapo mmatumbi wa nini wakati lugha inayoongewa hapo ni, Kemchoo, Donge Dukanye, Chuchu malunge Osha vinywa.

    ReplyDelete
  16. duuhhhh dah dah hii sasa naona miss bombay in da bongo land siku tutasikia president pia ni muhindi haya mnaiuza nchi kwa kupenda ulaji bora sie tuliejuchukulia uraia ughaibuni mapema tulijua haya yatatokea

    ReplyDelete
  17. safi sana kwa kufanyia sherehe hiyo uswahilini instead of uhindini that is one step forward kujichanganya na wabongo wenzenu.

    ReplyDelete
  18. Mi nadhani wadosi wanafanya jambo la maana sana, kwani wamatumbi sisi, binti yetu akishinda badala ya kumpa moyo na kumsaidia, tunaanza kumponda, kumtongoza ili awe na ukimwi, na pia kumlewesha mapombe na kumpiga picha uchi akilala.

    Huu ni mfano mzuri sana wa ushirikiano. Mimi binafsi nahisi huyu binti atajitahidi kupeperusha bendera ya Tz, kwani wamatumbi wameshindwa na kurudi na visingizio kemkem. RICHA HONGERA BINTI.
    Wazazi wa dada zangu wa kimatumbi, tuige mfano, tuwalinde mabinti zetu toka kwenye midomo mibaya ya Mibaba yenye pesa uchwara na UKIMWI

    ReplyDelete
  19. Like one anony who had, sometimes back, also put a request like this one.
    I would also like to have and INDIAN GIRLFRIEND,
    but it is very difficult to get them.
    Richa, I believe you visit and read this blog. Can you please assist me to get an Indian Girl friend for a “serious relationship?”
    I am a black Tanzanian.
    You can use the e-mail address ZeMdau@gmail.com to give me the “hints”.
    Or if you have your friend who will be ready to accept me, its ok.
    I will give you/her my details, including a photo, after we communicate.
    Please Dear. I am serious!

    ReplyDelete
  20. Wewe anony wa hapo juu unaposema kwamba mie mbaguzi huoni hizo sura zilizoketi hapo? Umemwona mswahili yeyote hapo au macho yako ni gari yanaona usiku tu?

    Na wewe anony unayesema eti kaonyesha uzalendo wa kufanyia sherehe hapa nyumbani badala ya india eti kafanyia hapa nyumbani kwa wabongo wenzake, kwani huko india ni kwa akina nani? Na kama unajua kwamba ni mswahili kwa nini unawaza kwamba afanyie india? Mbona huelweki weye!!!!!!!

    ReplyDelete
  21. kuna mtu hapo juu ame BOLD...anazungumza as if UKIMWI ni kwa "wamatumbi" tu...ingia kwenye 'jumuiya' zao utayakuta hayohayo...sijui wewe uko upande gani but your generalization pissed me off

    ReplyDelete
  22. Bwana Michuzi,mimi nimekuwa nafuatilia sana habari zako kila siku.kuna kitu ambacho nadhani wewe ungetembea na kupata habari ni jinsi gani huyu mrembo Richa amepokelewa na jamii kwa ujumla.Sio siri na wala si ubaguzi,ni asilimia kubwa hajakubalika katika jamii yetu ya kitanzania.sijui ni vigezo vipi hasa vilitumika kumchagua lakini mimi kama mdau nilitokwa machozi na kusikitika sana kuona sasa watanzania hatuwezi hata kufikiri tu licha ya kuona.hivi kuna binti mweusi mwenye asili ya Afrika anaweza kushinda INDIA?tena kuiwakilisha NCHI? tunakuomba Michuzi,tumechoshwa na habari za huyo Mhindi wenu.sisi kama watanzania halisi tunajua mwaka huu hatuna mwakalishi.kwa hiyo watumie habari wahindi wenzake,sisi watanzania hatumkubali huyo Richa kama wanavyomdhihirisha hapo kwenye sherehe zao za kihindu.hatuna haja ya kujua habari zake zaidi.tupe habari za maana bwana.narudia tena tumechoshwa na habari za huyo Mhindi wenu hata kama mtampamba vipi hatumkubali hilo kaa ukijua.unaweza kutuleta habari za Richard wa Big Brother Afrika bora kuliko huyo Richa Mhindi.usizidi kuuumiza mioyo yetu.

    ReplyDelete
  23. Umbea umbea umbea umbea umbea umbea

    Wabongo sie balaa, eti wabaguzi kwasababu anapongezwa na wahindi wenzake.

    Marekani kama mmarekani mweusi kafanya jambo zuri kwenye jamii ya wazungu wengi basi utaona picha yake na interview kwenye Ebony

    Je na huo ni ubaguzi?

    Mzungu akifanya vizuri kwenye jamii ya weusi marekani utamuona kwenye Ebony

    na hio ndio inavyotakiwa kwa Richa, pamoja na kwamba anaipresent tanzania lakini lazima ajivunie asili yake.

    Na umbea huu, huko mliko ulaya mna maduka yenu ya chakula, sehemu zakununulia mchicha, bamia na madawa mnayopaka ili mfanane kama wazungu mafisadi nyie.

    Mnaboa

    Mwacheni mtoto wa watu, akhaaa

    ReplyDelete
  24. Jamii iliyo ndogo ndani ya jamii nyingine kubwa aidha kwa uchache wao au vinginevyo, hushirikiana na kukumbatiana sana. The Minority are always united and through their unity they are always very strong.

    ReplyDelete
  25. Anon wa september 19, 2007 4:26:00 PM EAT Naona umeshamaliza, hebu ngoja nicheke eti wananunua madawa huko ulaya kwenye maduka yao ya kiswahili ili wafanane na wazungu, Hahaaaaaaaaa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...