meneja wa wanja la zamani la neshno charles masanja akiwa na mdau wa ukerewe aliyemtembelea kuona maendeleo ya utandikaji wa nyasi bandia

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Nipo nje ya topic lakini naomba kuuliza Mahusiano.com vipi imekufa kabisa au???

    ReplyDelete
  2. HATA KITANGOMA PIA MBONA IMELALA HIVYO NA MICHUZI NI MMOJA WA MA-DIRECTOR???

    ReplyDelete
  3. Tunaililia mahusiano dot komu.Haleluya tutaonana*2 tutaonana mahusiano haleluya tutaonana

    ReplyDelete
  4. jamaa ana bonge la tambi...fanya mazoezi brother mambo gani

    ReplyDelete
  5. Hivi Michuzi unavyoweka picha bila maelezo ya kutosha unafikiri kila mtu anamfahamu huyo Masanja?

    Maana bongo masanja wako wengi.Yupo masanja mkandamizaji ,Ndaki masanja au unafikiri kila mzungu Padre?

    Toa utambulisho unaoeleweka kaka

    ReplyDelete
  6. Hivi hawezi kutumia hilo wanja , kufanya jogging na walau kupunguza kitambi na man boobs?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...