miss tz 2007 richa adhia usiku huu amekabidhiwa mkwanja wake wa shilingi milioni 8 na miss world 2001 na bosi wa masoko wa vodacom hoteli ya beach comber ikiwa ni zawadi yake ya kutwaa taji hilo. zawadi ingine ni gari jipya

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Jamani jamani jamani! nyie haya tu na huyo Miss Patel wenu mi yangu macho. Atakapoulizwa mji mkuu wa Tanzania aseme ni NEW DELHI! Mi yangu macho na masikio tu.

    ReplyDelete
  2. Michu mimi nilimmind huyu bosi wa Voda.. unajua alijitahidi sana kuuheshimu u Isti Afrka wake na akaongea Kiswahili... alijitahidi sana, sijui ni Mkenya wa wapi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...